CORRECT LYRICS

Lyrics : Ukiwa Mbali

Sol Generation
Merry Christmas to the nation
Oh, Lord

Tulianza mwaka tukiwa wengi
Wengine hawakumaliza
Tukapanga nayo mipango mingi
Lakini chache zikatimizwa
Sasa sherehe kwa church, wengine kwa bar
Count your blessings vile inafaa
Ya Mola ni mengi, shetani hawezi pangua

Salama kwako mama
Nairobi kuko sawa
Nilipatana na vijanatu
Taimba Extravaganza
Crystal akajulikana
Asante Maulana
Aki ningeweza mama, nifungue macho nikuone

Nikiwa mbali (mbali mama)
Umoja natamani (natamani)
Sijui nitafanyeje, Krismasi nile na wewe
Ukiwa mbali (mbali mama)
Umoja natamani (natamani)
Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe

Hakuwezi kuwa na sherehe bila wewe
Mpenzi harakisha usichelewе
Nilizaliwa Disemba kama wewe
Njoo njoo unibеmbeleze
Moyoni ni mengi ninatarajia
Dada I'd give it all, mbinguni na dunia
Ili niwe na wewe muda unawadia
Njoo nile rhumba na wewe

Timing, imeharibiwa na kazi
Na sijui nitafanyaje, nichome moja na wewe
Niko grinding, na nimekushikia zawadi
Yaani
Sijui nitafikaje, ningependa nikupe mwenyewe

Nikiwa mbali (mbali mama)
Umoja natamani (natamani)
Sijui nitafanyeje, Krismasi nile na wewe
Ukiwa mbali (mbali mama)
Umoja natamani (natamani)
Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe

Oh-oh-oh, anywhere you are is home
Naomba Krismasinile na wewe
Ooooh, anywhere you are is home
Naomba Krismasi nile na wewe

Nikiwa mbali (mbali mama)
Umoja natamani (natamani)
Sijui nitafanyeje, Krismasi nile na wewe
Ukiwa mbali (mbali mama)
Umoja natamani (natamani)
Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe

(mwaka na wewe)
(pamoja natamani)
Nivuke mwaka na wewe