SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Ukiwa Mbali
by
Sauti Sol
Back
Lyrics
Sol Generation Merry Christmas to the nation Oh, Lord Tulianza mwaka tukiwa wengi Wengine hawakumaliza Tukapanga nayo mipango mingi Lakini chache zikatimizwa Sasa sherehe kwa church, wengine kwa bar Count your blessings vile inafaa Ya Mola ni mengi, shetani hawezi pangua Salama kwako mama Nairobi kuko sawa Nilipatana na vijanatu Taimba Extravaganza Crystal akajulikana Asante Maulana Aki ningeweza mama, nifungue macho nikuone Nikiwa mbali (mbali mama) Umoja natamani (natamani) Sijui nitafanyeje, Krismasi nile na wewe Ukiwa mbali (mbali mama) Umoja natamani (natamani) Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe Hakuwezi kuwa na sherehe bila wewe Mpenzi harakisha usichelewе Nilizaliwa Disemba kama wewe Njoo njoo unibеmbeleze Moyoni ni mengi ninatarajia Dada I'd give it all, mbinguni na dunia Ili niwe na wewe muda unawadia Njoo nile rhumba na wewe Timing, imeharibiwa na kazi Na sijui nitafanyaje, nichome moja na wewe Niko grinding, na nimekushikia zawadi Yaani Sijui nitafikaje, ningependa nikupe mwenyewe Nikiwa mbali (mbali mama) Umoja natamani (natamani) Sijui nitafanyeje, Krismasi nile na wewe Ukiwa mbali (mbali mama) Umoja natamani (natamani) Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe Oh-oh-oh, anywhere you are is home Naomba Krismasinile na wewe Ooooh, anywhere you are is home Naomba Krismasi nile na wewe Nikiwa mbali (mbali mama) Umoja natamani (natamani) Sijui nitafanyeje, Krismasi nile na wewe Ukiwa mbali (mbali mama) Umoja natamani (natamani) Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe (mwaka na wewe) (pamoja natamani) Nivuke mwaka na wewe
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register