CORRECT LYRICS

Lyrics : Set Me Free (Interlude)

Lamba mchanga ya France mara ya kwanza!
(Lakini uko na addiction, nyamaza!)
(Tumekuwa tu…tumekuwa tu…)
([?]) (Hahahaha)
Wewe! (Wewe! Eh!)
The thug life chose you! (The thug life chose me, hahaha)
The thug life chose you! (Tunaweza weka hio story archive…)
Huu, huu n***a, cheki…

Ehhh
Ehhh
Ehhh

Hivi bado nakumbuka, nikiwa kijana
Ile bangi nilivuta, pombe nilipewa kwa sana
Na wasichana walinipenda, wengine walinikataa
Na hapa nilipoamka, sikulala jana
Napiga densi usiku kucha, vijana kwa wasichana
Na masiri zilipasuka, wengi walizaana kwa sana
Na vijana wengi walikopa deni wapeleke slay queens maskani
Wakatoanishwa bila kuonjeshwa, wasanii tuliponea (Eh!)

Naomba (naomba) nizidi kijana
Naomba (naomba) nizidi kijana
Naomba (naomba) nizidi kijana
Won't you set me free, nizidi kijana?

Kaja Facebook, kaja Twitter, kaja pia na Instagram (Ooh)
Wengi walibwaga mioyo na picha za kupendeza sana
Na walitesa, tesa
Wazungu wanasemanga ati business and pleasure
Inasaidianga wazae kupunguza pressure, vijana under pressure
Wasanii tuliponea

Naomba (naomba) nizidi kijana
Naomba (naomba) nizidi kijana
Naomba (naomba) nizidi kijana
Won't you set me free, nizidi kijana?

Wait! Wait! Wait! (Oh my god)
I can't feel my legs, guys
(So…)