SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Set Me Free (Interlude)
by
Sauti Sol
Back
Lyrics
Lamba mchanga ya France mara ya kwanza! (Lakini uko na addiction, nyamaza!) (Tumekuwa tu…tumekuwa tu…) ([?]) (Hahahaha) Wewe! (Wewe! Eh!) The thug life chose you! (The thug life chose me, hahaha) The thug life chose you! (Tunaweza weka hio story archive…) Huu, huu n***a, cheki… Ehhh Ehhh Ehhh Hivi bado nakumbuka, nikiwa kijana Ile bangi nilivuta, pombe nilipewa kwa sana Na wasichana walinipenda, wengine walinikataa Na hapa nilipoamka, sikulala jana Napiga densi usiku kucha, vijana kwa wasichana Na masiri zilipasuka, wengi walizaana kwa sana Na vijana wengi walikopa deni wapeleke slay queens maskani Wakatoanishwa bila kuonjeshwa, wasanii tuliponea (Eh!) Naomba (naomba) nizidi kijana Naomba (naomba) nizidi kijana Naomba (naomba) nizidi kijana Won't you set me free, nizidi kijana? Kaja Facebook, kaja Twitter, kaja pia na Instagram (Ooh) Wengi walibwaga mioyo na picha za kupendeza sana Na walitesa, tesa Wazungu wanasemanga ati business and pleasure Inasaidianga wazae kupunguza pressure, vijana under pressure Wasanii tuliponea Naomba (naomba) nizidi kijana Naomba (naomba) nizidi kijana Naomba (naomba) nizidi kijana Won't you set me free, nizidi kijana? Wait! Wait! Wait! (Oh my god) I can't feel my legs, guys (So…)
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register