CORRECT LYRICS

Lyrics : Rhumba Japani

Kuna rhumba ya Juja

Na ni ya maboy

Ukisaka mitumba

Enda rhumba ya Toi

Kuna rhumba ya Kibich

Utajua hujui

Kuna rhumba for all you niggas

Ila rhumba Japani ndio rhumba



Kuna rhumba ya state house

Iko chini ya maji

Kuna rhumba ya bunge

Ya majambazi

Ukileta ujinga

Utalala ndani

Kuna rhumba for all you niggas

Lakini rhumba Japani ndio rhumba



Hapa ni wapi, time zungukwa na shisha

Na shahsamani, mapochopocho na vinywaji

Mbali mbali, wengine wanatapika

Wakizirai




(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});


Hapa ni wapi, wanatutwanga mapicha

Kipaparazi, Tumezungukwa na warembo

Geti kali, wanazitoka na style

Za kizamani



Kuna rhumba ya Westy

Ya mabeshte

Ya mashinani

Sheki your waiste

Rhumba ni nyepesi

Isikue kesi

Kuna rhumba for all my niggas

Ila rhumba Japani ndio rhumba



Kuna rhumba Karura

Ya kupanda miti

Ukiwa Koinange

Hakunaga risiti

Rhumba Oyole

Hio no ya mangwai

All of my hoes and all of my niggas waje

Rhumba Japani ndio rhumba




(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});


Hapa ni wapi, time zungukwa na mabouncer

Kama chain, Luna mapedi mapoko

Pia mapinji, na wanaseti Michele

Kwenye vinywaji



Hapa ni wapi, Kuna visanga vioja

Mahakamani, wapenzi wapigana

Mate hadharani, wengine wanatekana

Nyuma ya taxi



Nitie rhumba obunga

Mano mar jothurwa

To kidwa bilo mbuta

Rieri yo manyata

Yawuoi orwaka akala

To nyiwa ondiso avunja

Kuna rhumba for all you niggas

Lakini rhumba Japani ndio rhumba



Aaaaaaah

Sol Generation you know

Hii shit imeniweka zone, inatamba



Hapa ni wapi, waheshimiwa wako nje

Kwa foleni, na raia wako ndani

Wajivinjari, wanazitoka na style

Ni za kiodi



Hapa ni wapi, mawochi wote wameleta

Utiaji, wakafungia wakubwa

Nje ya party, wakawachia ofisi

Wafanyikazi