SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Rhumba Japani
by
Sauti Sol
Back
Lyrics
Kuna rhumba ya Juja Na ni ya maboy Ukisaka mitumba Enda rhumba ya Toi Kuna rhumba ya Kibich Utajua hujui Kuna rhumba for all you niggas Ila rhumba Japani ndio rhumba Kuna rhumba ya state house Iko chini ya maji Kuna rhumba ya bunge Ya majambazi Ukileta ujinga Utalala ndani Kuna rhumba for all you niggas Lakini rhumba Japani ndio rhumba Hapa ni wapi, time zungukwa na shisha Na shahsamani, mapochopocho na vinywaji Mbali mbali, wengine wanatapika Wakizirai (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Hapa ni wapi, wanatutwanga mapicha Kipaparazi, Tumezungukwa na warembo Geti kali, wanazitoka na style Za kizamani Kuna rhumba ya Westy Ya mabeshte Ya mashinani Sheki your waiste Rhumba ni nyepesi Isikue kesi Kuna rhumba for all my niggas Ila rhumba Japani ndio rhumba Kuna rhumba Karura Ya kupanda miti Ukiwa Koinange Hakunaga risiti Rhumba Oyole Hio no ya mangwai All of my hoes and all of my niggas waje Rhumba Japani ndio rhumba (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Hapa ni wapi, time zungukwa na mabouncer Kama chain, Luna mapedi mapoko Pia mapinji, na wanaseti Michele Kwenye vinywaji Hapa ni wapi, Kuna visanga vioja Mahakamani, wapenzi wapigana Mate hadharani, wengine wanatekana Nyuma ya taxi Nitie rhumba obunga Mano mar jothurwa To kidwa bilo mbuta Rieri yo manyata Yawuoi orwaka akala To nyiwa ondiso avunja Kuna rhumba for all you niggas Lakini rhumba Japani ndio rhumba Aaaaaaah Sol Generation you know Hii shit imeniweka zone, inatamba Hapa ni wapi, waheshimiwa wako nje Kwa foleni, na raia wako ndani Wajivinjari, wanazitoka na style Ni za kiodi Hapa ni wapi, mawochi wote wameleta Utiaji, wakafungia wakubwa Nje ya party, wakawachia ofisi Wafanyikazi
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register