CORRECT LYRICS

Lyrics : Sura Yako

Nimekuchagua wewe, nikupende
Mama, sitaki mwingine
Aushi usiniache, usinitende
Mama, usipende mwingine
Moyo wangu ni mwepesi
Umenikalia chapati
Nafanya vituko kama chizi
Kukupenda sitasizi
Moyo wangu ni mwepesi
Umenikalia chapati
Nafanya vituko kama chizi
Kukupenda sitasizi

Sura yako mzuri mama, aah
Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama
Na tabasamu lako maua, aah
Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama
Sura yako mzuri mama, aah
Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama
Na tabasamu lako maua, aah
Mzuri mama, mzuri mama

Itabidi nikulinde, nikutunze
Mama, usikose lolote
Pete nayo nikuvishe, nikuoe
Mama, usiende popote
Juu moyo wangu ushakubali
Umenikalia chapati
Nitakulinda kama polisi, eh
Itabidi nikumarry
Moyo wangu ushakubali
Umenikalia chapati
Nitakulinda kama polisi, eh
Itabidi nikumarry

Sura yako mzuri mama, aah
Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama
Na tabasamu lako maua, aah
Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama
Na figure yako kama ya chupa, aah
Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama
Na sura yako mzuri mama, aah
Mzuri mama, mzuri mama

Piga dansi kidogo
Piga da, piga dansi kidogo
Dansi kidogo
Piga da, piga dansi kidogo
...

Sura yako mzuri mama, aah
Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama
Na tabasamu lako maua, aah
Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama
...
You're so so beautiful
You're so so... yeah...