SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Sura Yako
by
Sauti Sol
Back
Lyrics
Nimekuchagua wewe, nikupende Mama, sitaki mwingine Aushi usiniache, usinitende Mama, usipende mwingine Moyo wangu ni mwepesi Umenikalia chapati Nafanya vituko kama chizi Kukupenda sitasizi Moyo wangu ni mwepesi Umenikalia chapati Nafanya vituko kama chizi Kukupenda sitasizi Sura yako mzuri mama, aah Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama Na tabasamu lako maua, aah Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama Sura yako mzuri mama, aah Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama Na tabasamu lako maua, aah Mzuri mama, mzuri mama Itabidi nikulinde, nikutunze Mama, usikose lolote Pete nayo nikuvishe, nikuoe Mama, usiende popote Juu moyo wangu ushakubali Umenikalia chapati Nitakulinda kama polisi, eh Itabidi nikumarry Moyo wangu ushakubali Umenikalia chapati Nitakulinda kama polisi, eh Itabidi nikumarry Sura yako mzuri mama, aah Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama Na tabasamu lako maua, aah Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama Na figure yako kama ya chupa, aah Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama Na sura yako mzuri mama, aah Mzuri mama, mzuri mama Piga dansi kidogo Piga da, piga dansi kidogo Dansi kidogo Piga da, piga dansi kidogo ... Sura yako mzuri mama, aah Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama Na tabasamu lako maua, aah Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama ... You're so so beautiful You're so so... yeah...
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register