CORRECT LYRICS

Lyrics : Tujiangalie

[Verse: Bien]
Barua toka jaramogi na kenyatta
Wanauliza kama Kenya kuko sawa
Nikawajibu Kenya tuko na disaster
Watoto wetu wanazidi Kuzikana
Na tom mboya ameshika tama
Alituacha kama angali kijana
Je? angekuwa mambo yanguekua sawa?
Ndivyo alivyopanga maulana
Deni Mlizowacha bado tunalipa
Natumekopa zingine China
Tukajenga reli pia barabara
zilizobaki watu wakasanya

[Brige: Bien]
So Tujiangalie (tujiangalie)
Tuko pabaya leo kuliko jana
Sikio la kufa halisikii dawa
Tuko kwa twitter Tunajibizana
Tujiangalie(tujiangalie)
Tuko pabaya leo kuliko jana
Tusipo ziba ufa tuta jenga kuta
Tusake zetu tungali vijana

[Verse: Savara]
Waumini kwa mathree na passie kwa bimmer
Kushoto fungu lakumi sadaka kulia
Ndio maana Mbele ya kanisa mheshimiwa
Anakula sacramenti kabla ya raia oh
Siku za Mwishu zime shawadia
Na revelation inatuambia
Hii generation inachoma picha
Ni generation yetu so

[Brige: Savara]
tujiangalie (Tujiangalie)
Tuko pabaya leo kuliko jana
Sikio la kufa halisikii dawa
Tuko kwa twitter tunajibizana
Tujiangalie (Tujiangalie)
Tuko pabaya leo kuliko jana
Tusipoziba ufa tutajenga kuta
Tusake zetu tungali vijana

[Verse: Chimano]
Michuki alisema tufungeni mikanda'
Ona leo twavuna tulicho panda
Kura zetu zilitugawanya
Makabila na pesa pia tulimanga
So when you make your bed oh'...
You lie on it oohh
Usingizi gani tumelala?
Tuta jua hatu jui
Vision 20 30 itabaki ni story

[Brige: Chimano]
Tujiangalie (Tujiangalie)
Tuko pabaya leo kuliko jana
Sikio La kufa halisikii dawa
Tuko kwa Twitter tunajibizana
Tujiangalie (Tujiangalie)
Tuko pabaya leo kuliko jana
Tusipoziba ufa tutajenga kuta
Tusake zetu tungali vijana

[Verse:  Nyashinski]
Mdosi aliniambia freedom never comes for free
We vote tribe ama real cash ask boni
Tuna roho mahali hamwezi
Ita GSU plus doggy
World mzima Twitter
Kotndio first body
Burn picha si ni WAAFRIKA black coffee (annan)
I'm Richer than my neighbor
But whe both in the slum
If the rich always win
Why should the popular run?
Unless "Democracy" ni word si usema
Only for fun
Tujiangalie (Tujiangalie)
Uh !!
Na hii weekend Tuko church
Tunauza sura kabisa
Post ya haga
Huenda poa sana na caption ya scripture
Kaa hiyo Ndio Gospel
Pitisha bag ya sadaka kwa club yeah
Tujiangalie (Tujiangalie)
Uh !!
Trafic madrug ubuy ndai
Trafic mandai zinadrag
Ku admire mwizi amemake it story za shamba wamegrab
Mkono nahonga imevaa
Bracelet ya colors za flag
Yeah