CORRECT LYRICS

Lyrics : Nimeshafika X Mikasi

#INTRO
lalala, Oooh nanana
mwambie mama
VampK mwambie mama
VampK mwambie mama
dih mikasi top, na VampK

#CHORUS
Aaah, mwambie mama nimeshafika,
mhhh tena mi nimefika salama,
oooh mwambie mama nimeshafika
eeeeeh Tena mi nimefika salama,

#VERSE
Hilo Jiji la Loitokitok
ntalikosa Sana
yeye anajua ilivyonichoma mama
Nyumbani dhiki, ikanibidi niende mbali
ntawakosa Mimi naenda kutafuta Mali
acha niende mimi nanikija ujidai mama
acha niende mimi nikirudi tufurahi
mama yangu ma ujidaii,
mama weeh ufurahi
mama yangu ma ujidai eh
mama yangu we ufurahi

#CHORUS
Aaah, mwambie mama nimeshafika,
mhhh tena mi nimefika salama,
oooh mwambie mama nimeshafika
eeeeeh Tena mi nimefika salama

#VERSE
mwambie dada, elimu msingi
dunia inakaba
kama mapenzi mama,
walipendaga wengi mwisho wakamwagwa

basi na asome na bidii,
nampendaga
basi dada asome na bidii
nampendaga

#VERSE
nanivema siku ya Leo umewakumbuka
ndugu zako na marafiki
huku Nyumbani
baba yako aliposikia alifyatuka
dada yako na yeye haonekani Nyumbani
mpenzi wako vaileti wafilisti wanamvizia
wamempa spaghetti siku hizi anaturingia
mama yako ameketi barazani akifikira
heri angezaa Gazeti blanketi
ama sufuria
lakini kuja Nyumbani we tunakungoja
(Ruuuudiii)
hata kama wamekung'oa jicho Moja
(Ruuuudi) yeyeyeiyeeeeh

#CHORUS
Aaah, mwambie mama nimeshafika,
mhhh tena mi nimefika salama,
oooh mwambie mama nimeshafika
eeeeeh Tena mi nimefika salama

#CHORUS
Aaah, mwambie mama nimeshafika,
mhhh tena mi nimefika salama,
oooh mwambie mama nimeshafika
eeeeeh Tena mi nimefika salama