SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Nimeshafika X Mikasi
by
Leteipa The King
Back
Lyrics
#INTRO lalala, Oooh nanana mwambie mama VampK mwambie mama VampK mwambie mama dih mikasi top, na VampK #CHORUS Aaah, mwambie mama nimeshafika, mhhh tena mi nimefika salama, oooh mwambie mama nimeshafika eeeeeh Tena mi nimefika salama, #VERSE Hilo Jiji la Loitokitok ntalikosa Sana yeye anajua ilivyonichoma mama Nyumbani dhiki, ikanibidi niende mbali ntawakosa Mimi naenda kutafuta Mali acha niende mimi nanikija ujidai mama acha niende mimi nikirudi tufurahi mama yangu ma ujidaii, mama weeh ufurahi mama yangu ma ujidai eh mama yangu we ufurahi #CHORUS Aaah, mwambie mama nimeshafika, mhhh tena mi nimefika salama, oooh mwambie mama nimeshafika eeeeeh Tena mi nimefika salama #VERSE mwambie dada, elimu msingi dunia inakaba kama mapenzi mama, walipendaga wengi mwisho wakamwagwa basi na asome na bidii, nampendaga basi dada asome na bidii nampendaga #VERSE nanivema siku ya Leo umewakumbuka ndugu zako na marafiki huku Nyumbani baba yako aliposikia alifyatuka dada yako na yeye haonekani Nyumbani mpenzi wako vaileti wafilisti wanamvizia wamempa spaghetti siku hizi anaturingia mama yako ameketi barazani akifikira heri angezaa Gazeti blanketi ama sufuria lakini kuja Nyumbani we tunakungoja (Ruuuudiii) hata kama wamekung'oa jicho Moja (Ruuuudi) yeyeyeiyeeeeh #CHORUS Aaah, mwambie mama nimeshafika, mhhh tena mi nimefika salama, oooh mwambie mama nimeshafika eeeeeh Tena mi nimefika salama #CHORUS Aaah, mwambie mama nimeshafika, mhhh tena mi nimefika salama, oooh mwambie mama nimeshafika eeeeeh Tena mi nimefika salama
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register