CORRECT LYRICS

Lyrics : Looser

Muna Party again, iyeeiyeeah...

VERSE 1 (Leteipa the King)
Chochote, nachofanya, Kinawapa homa ya
ndege, Elnino kichwa na tumboni,
nikingara, Najifanya, Nilichapa nimewa bwege,
sijui nivae nyong'inyo shingoni,
Nikijitenga wanasema Nina matharao, (Huh)
ati nimetupa mbao (aaaeeh)
nanikibonga ati najipendekeza kwao (Huh huh)
mnataka niishi how??
nawanawika, kanajiringa
hakatafika siwapi maskio, (aeeeeh)
nauhakika hata wakipinga
bado ntafika yangu mafanikio ouuuouuuh...

CHORUS (Leteipa the King)
mi ndiye dereva, wa gari la maisha yangu,
sijali mnachosema, maisha ntayaendesha,
am not a looser eeeeeh
am not a looser ooooooh
am not a looser eeeeeh
am not a looser oooooh

VERSE 2 (Muna Party)
Everything I do they are all afte me,
wanajidai, wao manabii,
wanataka maisha yangu yajengwe na maneno
yao,
lakini hiyo itabidi wamesahau

juu kama ni riziki, Mungu ndo anagawa
so hata wakisnitch, siwezi nikapagawa
maaana wote walopata hawakuzaliwa nazo
walifanya mchakamchaka bidii na mkazo
kila siku kukikucha nimepewa fursa inabidi
nijitolee,
kwa bidii natafuta, Niweze kuzinduka hizi shida
ziniondokee
niache kuteseka kwa maisha mi toke Hali ngumu
ziwe laini,
walionicheka tunapokutana wapige uso chini

CHORUS (Leteipa the King)
mi ndiye dereva, wa gari la maisha yangu,
sijali mnachosema, maisha ntayaendesha,
am not a looser eeeeeh
am not a looser ooooooh
am not a looser eeeeeh
am not a looser oooooh

CHORUS (Leteipa the King)
mi ndiye dereva, wa gari la maisha yangu,
sijali mnachosema, maisha ntayaendesha,
am not a looser eeeeeh
am not a looser ooooooh
am not a looser eeeeeh
am not a looser oooooh
.