CORRECT LYRICS

Lyrics : Kanyagia

Ati, wakanyagie na slippers
High heels na Timber
Kila aina ya sneaker (Sneaker sneaker)

Wakanyagie na slippers, high heels na Timber
Nike, Adidas kila aina ya sneaker
Kanyagia (Ai), ka riba si ya bizna
Raia keep distance, story weka Insta
Itabidi wametulia tu wakininyatu
Niko ndani ya booth kaa mguu ndani ya kiatu
Na nimepiga luku true sijatulia tu
Na nimevaa matimber ju, nakanyagia tu

Mastory za upuzi nakanyagia (Kanyagia), kanyagia (Kanyagia), kanyagia
Wakijifanya wajuzi nawakanyagia (Kanyagia), kanyagia (Kanyagia), kanyagia
Ka umejazwa na ki chuki nakukanyagia (Kanyagia), kanyagia (Kanyagia), kanyagia
Kumwagia jina yangu chumvi brathe kanyagia (Kanyagia), kanyagia (Kanyagia), kanyagia

Ati rumors are spreading
Brathe maintain
Usiamini kila kitu unasomanga kwa mneti
Ni kugenje punguza kelele, ka si necessary
Si unajua story ya mkebe, ikiwa empty nanii
Kiatu utembeze kama story haiinvolve biz
Punguza kasheshe na uwachane na showbiz
Showbiz genje niongeze manoti ndani ya pori
Wakanyagie na slippers, high heels ma Timber
Nike, Adidas kila aina ya sneaker
Kanyagia (Ai), ka riba si ya bizna
Raia keep distance, story weka Insta
Wakanyagie na slippers, high heels ma Timber
Nike, Adidas kila aina ya sneaker
Kanyagia (Ai), ka riba si ya bizna
Raia keep distance, story weka Insta

Yeah, uh
Unabonga sana, hauchoki kuongea
Umejulikana, haukosi kwa umbea
Maskio yako kwa story za jirani tu
Macho yako na udaku ka miwani juu
A-antenna imepanda juu sana
Nipigie ka tunaongea mkwanja tu
Rada mi nashugulikia yangu tu
Stevie Wonder kwa vitanda silaliangi juu
So mastory za ufala unaeza kanyagia (Kanyagia), kanyagia (Kanyagia), kanyagia
Bado shingo za marapper mi nakanyagia (Kanyagia), kanyagia (Kanyagia), kanyagia
Last year niliona manyoka nikakanyagia (Kanyagia), kanyagia (Kanyagia), kanyagia
Adui yako atakusoma buda, kanyagia (Kanyagia), kanyagia (Kanyagia)
Yeah, cheki rumours are spreading
Ka si udaku kwani hatuwezi tunga sentensi
Mdomo zao zinafunguka tu ka mfereji
Ikifika saa ya inside scoop hamchelewi
Upelelezi, na tukiongea ukweli
Mastory hazitauza bila chumvi kwa mneti
So 'we kama hupendi funga macho sicheki
Ras hii mambo bana haieleweki, kanyagia
Hii ikinilemea mi naachilia