CORRECT LYRICS

Lyrics : Wach Wach

Yeah
Uh, yeah, yeah
Wach wach, wach wach, yeah

Mi ni senior, nafaa kuwa na deputy
Pedi wako anajua nina pedigree
In fact, unafaa kuwa unasimama niketi
Hii gava itasanyia ata ma-mother vibeti
Mwizi atakuibia walenje ukidedi
Mwizi anapunguza jam akidedi
Hizo ndio vitu ma-rapper hawatemi
Kwao ma-career ni pang'ang'a na deni
Hakuna mtu anasema ukweli, watu wanalipwa mapeni
Nikiwa mavela naona Makaveli
Hii ni msomo free kaa People Daily
Nimeng'aria hawa watu for long, mpaka saa ina-bore
Ina-bore saa mpaka umeanza tu ku-long for watu nang'aria
Iko wapi hizo throne nasikia zimekaliwa?
Sikuwangi kwa zone
Nakuwanga kwa caliber fulani ya form haiezi match-iwa
Najua itakuwa long kabla m-mature
Msini-try, mi najijua
Risasi haisimamishwangi na kifua
Kisasi halipishwangi na ratili, na kama customer fulani anasumbua
Mi najijua

Nime-confirm, mi najijua
Mitaa zimetii, tii, tii, mi nachafua
Zao ziko down, si tuko tour
Mitaa zimetii, tii, tii, mi nachafua
Sawa sawa, "Wach wach" ndio vile nasikia (Wach wach)
Wach wach (Wach wach)
Wach wach (Wach wach)
"Wach wach" ndio vile nasikia
"Wach wach" ndio vile nasikia
Sawa sawa, "Wach wach" ndio vile nasikia (Wach wach)
Wach wach (Wach wach)
Wach wach (Wach wach)
"Wach wach" ndio vile nasikia
"Wach wach" ndio vile nasikia

Yeah
Okay, you see only what they let you see
Na hii ni advice, si matusi, don’t f**k up juu ya ganji
Don’t act like you’re so holy, judgement yako haikuponyi
Ukiomoka asubuhi, usikuwe ushasota by jioni
Mi na-slaughter microphoni, go missing, hamnioni
Nikinyamaza, jua ni ku-promising kaa Tigoni
Been polishing skills za mine, ni astonishing kaa milioni
Na inakaa ungekaa mjinga if you were wishing failure on me

Yeah, mauraru ata hatujatuna, ngata, gari yangu inakunywa
Defense na attack najituma, guaranteed leo back inakuuma
Heh, come miss a tuner, ass ina tumor
Plus huna kiuno, hadi najiuma
Umetisha and I’m sure you know
We itisha mpaka wa-jam, na hii beat ni ya my n***a Sam
Eardrum zako zinakubali, pia roho yako inakubali
Hii flow ina uhodari fulani, huonangi mtaani
Ndio unaona nani hapa ndio daktari?
Dere wa trailer atagonya Ferrari, Amen
Mi najijua

Nime-confirm, mi najijua
Mitaa zimetii, tii, tii, mi nachafua
Zao ziko down, si tuko tour
Mitaa zimetii, tii, tii, mi nachafua
Sawa sawa, "Wach wach" ndio vile nasikia (Wach wach)
Wach wach (Wach wach)
Wach wach (Wach wach)
"Wach wach" ndio vile nasikia
"Wach wach" ndio vile nasikia
Sawa sawa, "Wach wach" ndio vile nasikia (Wach wach)
Wach wach (Wach wach)
Wach wach (Wach wach)
"Wach wach" ndio vile nasikia
"Wach wach" ndio vile nasikia

Nime-confirm, mi najijua
(Tii, tii, tii) Mi nachafua
Zao ziko down, si tuko tour
(Tii, tii, tii) Mi nachafua
(Wach wach, wach wach, wach wach)
(Tii, tii, tii)
(Wach wach, wach wach, wach wach)
(Tii, tii, tii)