SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Wach Wach
by
Nyashinski
Back
Lyrics
Yeah Uh, yeah, yeah Wach wach, wach wach, yeah Mi ni senior, nafaa kuwa na deputy Pedi wako anajua nina pedigree In fact, unafaa kuwa unasimama niketi Hii gava itasanyia ata ma-mother vibeti Mwizi atakuibia walenje ukidedi Mwizi anapunguza jam akidedi Hizo ndio vitu ma-rapper hawatemi Kwao ma-career ni pang'ang'a na deni Hakuna mtu anasema ukweli, watu wanalipwa mapeni Nikiwa mavela naona Makaveli Hii ni msomo free kaa People Daily Nimeng'aria hawa watu for long, mpaka saa ina-bore Ina-bore saa mpaka umeanza tu ku-long for watu nang'aria Iko wapi hizo throne nasikia zimekaliwa? Sikuwangi kwa zone Nakuwanga kwa caliber fulani ya form haiezi match-iwa Najua itakuwa long kabla m-mature Msini-try, mi najijua Risasi haisimamishwangi na kifua Kisasi halipishwangi na ratili, na kama customer fulani anasumbua Mi najijua Nime-confirm, mi najijua Mitaa zimetii, tii, tii, mi nachafua Zao ziko down, si tuko tour Mitaa zimetii, tii, tii, mi nachafua Sawa sawa, "Wach wach" ndio vile nasikia (Wach wach) Wach wach (Wach wach) Wach wach (Wach wach) "Wach wach" ndio vile nasikia "Wach wach" ndio vile nasikia Sawa sawa, "Wach wach" ndio vile nasikia (Wach wach) Wach wach (Wach wach) Wach wach (Wach wach) "Wach wach" ndio vile nasikia "Wach wach" ndio vile nasikia Yeah Okay, you see only what they let you see Na hii ni advice, si matusi, don’t f**k up juu ya ganji Don’t act like you’re so holy, judgement yako haikuponyi Ukiomoka asubuhi, usikuwe ushasota by jioni Mi na-slaughter microphoni, go missing, hamnioni Nikinyamaza, jua ni ku-promising kaa Tigoni Been polishing skills za mine, ni astonishing kaa milioni Na inakaa ungekaa mjinga if you were wishing failure on me Yeah, mauraru ata hatujatuna, ngata, gari yangu inakunywa Defense na attack najituma, guaranteed leo back inakuuma Heh, come miss a tuner, ass ina tumor Plus huna kiuno, hadi najiuma Umetisha and I’m sure you know We itisha mpaka wa-jam, na hii beat ni ya my n***a Sam Eardrum zako zinakubali, pia roho yako inakubali Hii flow ina uhodari fulani, huonangi mtaani Ndio unaona nani hapa ndio daktari? Dere wa trailer atagonya Ferrari, Amen Mi najijua Nime-confirm, mi najijua Mitaa zimetii, tii, tii, mi nachafua Zao ziko down, si tuko tour Mitaa zimetii, tii, tii, mi nachafua Sawa sawa, "Wach wach" ndio vile nasikia (Wach wach) Wach wach (Wach wach) Wach wach (Wach wach) "Wach wach" ndio vile nasikia "Wach wach" ndio vile nasikia Sawa sawa, "Wach wach" ndio vile nasikia (Wach wach) Wach wach (Wach wach) Wach wach (Wach wach) "Wach wach" ndio vile nasikia "Wach wach" ndio vile nasikia Nime-confirm, mi najijua (Tii, tii, tii) Mi nachafua Zao ziko down, si tuko tour (Tii, tii, tii) Mi nachafua (Wach wach, wach wach, wach wach) (Tii, tii, tii) (Wach wach, wach wach, wach wach) (Tii, tii, tii)
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register