SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Kanyagia
by
Nyashinski
Back
Lyrics
Ati, wakanyagie na slippers High heels na Timber Kila aina ya sneaker (Sneaker sneaker) Wakanyagie na slippers, high heels na Timber Nike, Adidas kila aina ya sneaker Kanyagia (Ai), ka riba si ya bizna Raia keep distance, story weka Insta Itabidi wametulia tu wakininyatu Niko ndani ya booth kaa mguu ndani ya kiatu Na nimepiga luku true sijatulia tu Na nimevaa matimber ju, nakanyagia tu Mastory za upuzi nakanyagia (Kanyagia), kanyagia (Kanyagia), kanyagia Wakijifanya wajuzi nawakanyagia (Kanyagia), kanyagia (Kanyagia), kanyagia Ka umejazwa na ki chuki nakukanyagia (Kanyagia), kanyagia (Kanyagia), kanyagia Kumwagia jina yangu chumvi brathe kanyagia (Kanyagia), kanyagia (Kanyagia), kanyagia Ati rumors are spreading Brathe maintain Usiamini kila kitu unasomanga kwa mneti Ni kugenje punguza kelele, ka si necessary Si unajua story ya mkebe, ikiwa empty nanii Kiatu utembeze kama story haiinvolve biz Punguza kasheshe na uwachane na showbiz Showbiz genje niongeze manoti ndani ya pori Wakanyagie na slippers, high heels ma Timber Nike, Adidas kila aina ya sneaker Kanyagia (Ai), ka riba si ya bizna Raia keep distance, story weka Insta Wakanyagie na slippers, high heels ma Timber Nike, Adidas kila aina ya sneaker Kanyagia (Ai), ka riba si ya bizna Raia keep distance, story weka Insta Yeah, uh Unabonga sana, hauchoki kuongea Umejulikana, haukosi kwa umbea Maskio yako kwa story za jirani tu Macho yako na udaku ka miwani juu A-antenna imepanda juu sana Nipigie ka tunaongea mkwanja tu Rada mi nashugulikia yangu tu Stevie Wonder kwa vitanda silaliangi juu So mastory za ufala unaeza kanyagia (Kanyagia), kanyagia (Kanyagia), kanyagia Bado shingo za marapper mi nakanyagia (Kanyagia), kanyagia (Kanyagia), kanyagia Last year niliona manyoka nikakanyagia (Kanyagia), kanyagia (Kanyagia), kanyagia Adui yako atakusoma buda, kanyagia (Kanyagia), kanyagia (Kanyagia) Yeah, cheki rumours are spreading Ka si udaku kwani hatuwezi tunga sentensi Mdomo zao zinafunguka tu ka mfereji Ikifika saa ya inside scoop hamchelewi Upelelezi, na tukiongea ukweli Mastory hazitauza bila chumvi kwa mneti So 'we kama hupendi funga macho sicheki Ras hii mambo bana haieleweki, kanyagia Hii ikinilemea mi naachilia
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register