CORRECT LYRICS

Lyrics : Ngarambe

VERSE 1: (Leteipa the King)
Kameshona kama kiondoo,
Kifuani niembe Ukitaka ujimenyee, Kama
kametoka Bondo
kanavyonyandua dompo, Hakajaalikwa kinywaji
kajiekee , bado kanatepa bondoo
kanadai wine na cider zinaboo
form ni mangwai mawada na machrome
na kamedecide, kuwahi Chali Masai
juu size ya kijinai ni fine na Wana dooh
she likes castles na hakadai hustle
she is like mambo please nadai bundles
please kabuy sandals, hills ziwahi kando
mi sidai scandals maybe nikuwahi cuddle

HOOK: (Leteipa the King)
kitega uchumi chake saidong'i (eeeh)
Thao jamo kanawahi mbogi, (eeh)
hata ukiwa na mbao hakatai noti (eeeh)

CHORUS: (Leteipa the King)
(Ngarambe nyosto Ngarambe) laugh
(Ngarambe nyosto Ngarambe)
(Ngarambe) kalishower mwaka Jana ni mafuta
kamejipaka
(Ngarambe nyosto Ngarambe) luku mpaka
kaombe ndio Sasa katokee
(Ngarambe) kamedunga claddy mpya na thango
linakiraka
(Ngarambe nyosto Ngarambe) sura wacha
tuongee, pengine tukaombee
(Ngarambe)

VERSE 2 (Pop Karly)
slay queen anadai mtu pesa
bila doh anadai utamtesa
ukiwa nazo pia anadai kuziwaste aah

cheza mbali bro lenga hizo stress
we ni tapeli umepatana na matheri
zako vako we huwezi nitapeli
zako vako we huwezi bonga kweli
sura chura basi kama nakejeli
after this Kuna wale watacatch
mi sijali kama ngoma umekutouch
nishasema so siwezi nikareverse
get a life basi kama nakujudge
(Ngarambe nyosto Ngarambe)

HOOK: Leteipa the King
kitega uchumi chake saidong'i (eeeh)
Thao jamo kanawahi mbogi, (eeh)
hata ukiwa na mbao hakatai noti (eeeh)

CHORUS: (Leteipa the King)
(Ngarambe nyosto Ngarambe) laugh
(Ngarambe nyosto Ngarambe)
(Ngarambe) kalishower mwaka Jana ni mafuta
kamejipaka
(Ngarambe nyosto Ngarambe) luku mpaka
kaombe ndio Sasa katokee
(Ngarambe) kamedunga claddy mpya na thango
linakiraka
(Ngarambe nyosto Ngarambe) sura wacha
tuongee, pengine tukaombee
(Ngarambe)

AUTRO: (Leteipa the King)
unafaa kuwa pedi, unavyopenda kumedi
Princess pat na unaflash mpaka zedi
Una deals shady unavyopenda mijeledi
sikuchochi naona ukikufa na ukedi
kufua hupendi, na bafu huendi
unasubiria mkapige sheshe wikendi
aaaaaah

(Ngarambe nyosto Ngarambe)