CORRECT LYRICS

Lyrics : Fuliza

Verse {Leteipa the King}:
Nilikutunza kama mboni,
Kama walenje mfukoni,
Nilikupenda sana Wewe, Kisha ukaniacha
mwenyewe,
Kidonda changu hakiponi,
Nakutafuta sikuoni,
Kumbe ulibebwa na mwewe, ukaniachia kiwewe,
Na kale kamia,
Ulinitupia
Sijakatumia bado nakaangalia
Nikifikiria vile ulinichukulia
Kama sufuria ama kama ligunia
Nilikupa kila kitu, vya nje mpaka vya ndani,
Nawe ukanipa jipu, kupona Mi sidhani,
Ni kweli nahisi wivu, kukuona kwa Fulani,
Penzi lishakuwa jivu, kuni ziliisha zamani,

Chorus {Leteipa the King}:
(Nine choke kuwa nawe,) my confidence
( nawe ,) my self esteem
(nawe , ) my holyness
(nawe,) My future dream
(Nawe) My only space,
(Nawe) My golden blings
(Nawe) Zote umezifuliza
(Nimechoka kuwa Nawe) Nirudishie ring yangu
(Nawe) hata kambuzi ketu kana kidole
(Nawe) bora nidate simu tangu
(Nawe) itanitreat better nipone

Verse 2 {DreamBoy}:
Nilikuenzi ka Kiba kwa Cinderella
Nikakupa penzi, kumbe ulichojali ni hell

Nikuhonge benz , magari ka ya telenovela
Na sina Centi kapuku kama mfungwa jela
Ila moyo wangu Nilikupa uniwekee
Ukaondoka na kuniachia upweke
Heartbroken moyoni Mi niteseke
Huku na kule Beshte zako wanicheke
{Leteipa the King}
Na kale kamia,
Ulinitupia
Sijakatumia bado nakaangalia
Nikifikiria vile ulinichukulia
Kama sufuria ama kama ligunia

Chorus {Leteipa the King}:
(Nine choke kuwa nawe,) my confidence
( nawe ,) my self esteem
(nawe , ) my holyness
(nawe,) My future dream
(Nawe) My only space,
(Nawe) My golden blings
(Nawe) Zote umezifuliza
(Nimechoka kuwa Nawe) Nirudishie ring yangu
(Nawe) hata kambuzi ketu kana kidole
(Nawe) bora nidate simu tangu
(Nawe) itanitreat better nipone
(Nimechoka kuwa nawe) kweli Haya ni mapenzi
ama uhusiano wa kibiashara
(Nawe) Kila mwisho wa mwezi nikupe tayari
kukupa mshahara
(Nawe) Nimechoka siezi tazama mwenzako
nilivyoparata
(Nawe) Miaka yangu Ni michache lakini tayari
nishatoka kipara