SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Dozi
by
Nandy
Back
Lyrics
Shii! The African Princess (It's S2kizzy beiby) Yaani tushawaloga waloshika manyanga Si walipaka powder na chale wakachanja Na kwenye videnge udaku kwa madot ya kanga Nawatupa kwenye uchafu kama ganda la karanga Ooh yayeee Imegeuka shilingi wanalia (Wameyamwaga) Walidhani magimbi kumbe bia (Wameyavaga) (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); So wapaka wino, machino Wenyewe wamechimba shino Moja jino kwa kisigino Wamemwaga tela nawazidi kimo Ooh yeah hatucheki na ndesi Ni mwendo wa dozi Kama wagonjwa nawapa ulezi Ooo yeah hatuwapi ulezi (It's S2kizzy beiby) Nikimake navimba kibaharia Kamba kwa buti nakazia Wakipiga kinuti napangua Kwa kubwa washow wanakaliwa (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Naitekenye kete Wakipangua cheche Miluzi makeke Mteja na kete Saluti! Kuruti Katekenye kacheka ka nyoti Bunduki, Baruti! Utapepea ka parachuti So wapaka wino, machino Wenyewe wamechimba shino Moja jino kwa kisigino Wamemwaga tela nawazidi kimo Ooh yeah hatucheki na ndesi Ni mwendo wa dozi Kama wagonjwa nawapa ulezi Ooo yeah hatuwabembelezi
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register