CAPA/TRACKLIST

Letra : Naolewa

(Fraga got the recipe)

Waliniita kimbaumbau, kiguu na njia
Ila nikadharau, nikapuuzia
Leo kwao kafa nyau, yanawanukia
Kwetu twafinya pilau, yametimia

Oooh wanjara, walete bunyero ooh
Mi nataka kulimwaga razi (Na makagheroo)
Waite na mapaparazi (Wapate kero)
Wale wenye magho ya nazi (Bando la jero)
Wapate vya kuperuzzi
Habari ziende kwa ma ex
Penzi waliodhulumu
Tena nimepata tetesi
Mmoja ataka kunywa sumu
Kisaa jamani kisaa
Nikauliza kisaa
kisa leo naolewa
Naolewa, naolewa mie (Ooh sheba)
Naolewa, naolewa mie

Nilikosaga na dira
kwa maneno ya waja
Oooh subira aaah
Mbele inafaraja
Asachereko, ngoma lipo uwanjanii
Mwali na mideko, kama nimetoka ngomani
Aii yuko wapi mamie mwali
Aje anibebe mgongongo
Amuite daddy mwali waje wayarudi ya msondondo
Bibi anacheka, zawadi kaleta
Na kitenge na mkeka
Na kibunda cha pesa (Aaah aah aaah)

Habari ziende kwa ma ex
Penzi waliodhulumu
Tena nimepata tetesi
Mmoja ataka kunywa sumu
Kisaa jamani kisaa
Nikauliza kisaa
kisa leo naolewa
Naolewa, naolewa mie (Ooh sheba)
Naolewa, naolewa mie

Sina sina makosa (Mtoto wa mwenzio)
Sina sina makosa (Utajiua)
Sina sina makosa (Mtoto wa mwenzio)
Sina sina makosa (Utajiua buree buree buree)