ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Naolewa
por
Ruby
Retornar
Letra
(Fraga got the recipe) Waliniita kimbaumbau, kiguu na njia Ila nikadharau, nikapuuzia Leo kwao kafa nyau, yanawanukia Kwetu twafinya pilau, yametimia Oooh wanjara, walete bunyero ooh Mi nataka kulimwaga razi (Na makagheroo) Waite na mapaparazi (Wapate kero) Wale wenye magho ya nazi (Bando la jero) Wapate vya kuperuzzi Habari ziende kwa ma ex Penzi waliodhulumu Tena nimepata tetesi Mmoja ataka kunywa sumu Kisaa jamani kisaa Nikauliza kisaa kisa leo naolewa Naolewa, naolewa mie (Ooh sheba) Naolewa, naolewa mie Nilikosaga na dira kwa maneno ya waja Oooh subira aaah Mbele inafaraja Asachereko, ngoma lipo uwanjanii Mwali na mideko, kama nimetoka ngomani Aii yuko wapi mamie mwali Aje anibebe mgongongo Amuite daddy mwali waje wayarudi ya msondondo Bibi anacheka, zawadi kaleta Na kitenge na mkeka Na kibunda cha pesa (Aaah aah aaah) Habari ziende kwa ma ex Penzi waliodhulumu Tena nimepata tetesi Mmoja ataka kunywa sumu Kisaa jamani kisaa Nikauliza kisaa kisa leo naolewa Naolewa, naolewa mie (Ooh sheba) Naolewa, naolewa mie Sina sina makosa (Mtoto wa mwenzio) Sina sina makosa (Utajiua) Sina sina makosa (Mtoto wa mwenzio) Sina sina makosa (Utajiua buree buree buree)
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse