CORRECT LYRICS

Lyrics : Interlude

Nyamaza, nyamaza 
Nani anamlipua? "Mapolisi sita"
Wamemlipua risasi kumi na moja
Mtu mgani "Sijui amelala chini"
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7 
Maaskari saba, mtu mmoja

Nyamaza, nyamaza 
Nani anamlipua? "Mapolisi sita"
Wamemlipua risasi kumi na moja
Mtu mgani "Sijui amelala chini"
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7 
Maaskari saba, mtu mmoja