CORRECT LYRICS

Lyrics : Extra Pressure

Ha ha ha ha...
Bigbeats Afrik..
Afrika

Niko boom na kunanyesha chances za kushandwa 
Zinanipa extra pressure
Kidungi kwa mrazi ye hutoboka mdesha 
Ju ya presha presha (Krrrr)
Msee ananihalla ni mdem na nina wife kwa kitanda
I'm not gonna do this games
Tempted to quit my day job
Lakini obsessions zinanipa extra pressure

Niko boom na kunanyesha chances za kushandwa 
Zinanipa extra pressure
Kidungi kwa mrazi ye hutoboka mdesha 
Ju ya presha presha (Krrrr)
Msee ananihalla ni mdem na nina wife kwa kitanda
I’m not gonna do this games
Tempted to quit my day job
Lakini obsessions zinanipa extra pressure

Ye si activist inakaa hujui maana ya active ni
But is lit tumejiindas tu mtaa na mangeus wa varsity
Highschool zii hatutaki scene yoh
Si tuna ethic si si wa-rekless G
Arif alipewa long ride juzi, life mara mbili fifty
Eti alikuwa wrong side saa ya shooting acording to briefing
Live bullet si hupata straight from KOT
Ndugu ya Suleh visually wananiita DOP
On the loose ka Danshmida, hawakujua tukiwa-con figures
Always ye hukuwa speaker mpaka motion haziwezi pita
Constantly namba moja jo nina goro haziwezi isha
Robbery jogoo road walivuka na sadaka ya Citam
IG Bonnet the retired of late
IG model si mtam heri hata ningefish kwa lake
Niliambia shawty asikam mtaa kama hajapiga tenje
Last seen nare haikuenda bie
Nilipatwa red handed
Afande aliniambia nisirande rande ataniingia kibare
Savage worker Monday niliingia offe na open
Nikabonga na biggie matope, ng'ombe iliona mi mnyonge
Rhymes zenyu stolen pia kicks na whips, hamko balling

Niko boom na kunanyesha chances za kushandwa 
Zinanipa extra pressure
Kidungi kwa mrazi ye hutoboka mdesha 
Ju ya presha presha (Krrrr)
Msee ananihalla ni mdem na nina wife kwa kitanda
I'm not gonna do this games
Tempted to quit my day job
Lakini obsessions zinanipa extra pressure

Niko boom na kunanyesha chances za kushandwa 
Zinanipa extra pressure
Kidungi kwa mrazi ye hutoboka mdesha 
Ju ya presha presha (Krrrr)
Msee ananihalla ni mdem na nina wife kwa kitanda
I’m not gonna do this games
Tempted to quit my day job
Lakini obsessions zinanipa extra pressure

Sijai bakishanga tot ndo niroll Nairobi
Na ni ju ya baby daughter
Naskia kuna vital parcel imedrop
Niko ready kuichota
Southern Province kwa ploti ya blue
Ndio mahali huyo mjoro anatoka
f*ck what the point is
Even before Covid-19 nilikuwa heavy smoker
Hivi ndo forward mi huendaga
Contraband illegal kwa masachet naekanga
24 hours niko locked na my girlfriend
Si hivo ati Corona inambamba
Na sijai ogopa deni 
Naitwaga dochman mwizi sinaga profession
Last time hiyo pandemic
Nilikuwa lockdown two weeks bila hata provision
Ni rat huyo mgirl huyo shori ni msoo tungejuana
Shida ni mrongo
Mans niko action packed, wasoro ni misomo
Kitu wananishinda ni mdomo
Hii ni bigdeal clip 
Vile nawamezesha loud maridadi 
Na si huwanga mabangi miraa
Last victim kwa crime analia 
Nilikazia rough na infact alikuwa lucky enough
Ngware alfariji tuko on unaeza dhani ni majira
Niliraukia marikiti kubuy nanasi za muratina
Rong Rende siwezi cook hii under anga 
Ndani ya rental sema mama pima
Chini ya kiti nilikuta bro ameficha 
After kusanif besheni mzima
Si fyuks nilishoot operatives mapema
Sijai penda fans kunishout out na temper
After kukang'a na cash out nahepa
Nimewekwa marufu natepa
Utawika kwa ngeta
Nyonde zitahepa kwa mti kwa nectar
Mi ni Arteta, debt collector
Mrenga ni wrong inaka ka ni Audi inasepa

Niko boom na kunanyesha chances za kushandwa 
Zinanipa extra pressure
Kidungi kwa mrazi ye hutoboka mdesha 
Ju ya presha presha (Krrrr)
Msee ananihalla ni mdem na nina wife kwa kitanda
I'm not gonna do this games
Tempted to quit my day job
Lakini obsessions zinanipa extra pressure

Niko boom na kunanyesha chances za kushandwa 
Zinanipa extra pressure
Kidungi kwa mrazi ye hutoboka mdesha 
Ju ya presha presha (Krrrr)
Msee ananihalla ni mdem na nina wife kwa kitanda
I'm not gonna do this games
Tempted to quit my day job
Lakini obsessions zinanipa extra pressure

Uh, walidhani kovu mi nacheza
Until wakacheza na pesa
Mbleina alishandwa jikoni kwa keja
Utashindwa ni damu ama Peptang
Beef miaka kumi naweka 
Manze unaimagine hio pressure
Msupa anadai hajanyesha
Pressure pressure extra pressure
Ready for war uh
Ndio maana si hudishi sembe kienyeji na raw
Morio ni pedi na alikuwanga na mtoo
Lakini mabanga walimshika na ndom
Hii rende ni rong hii rende ni rogue
Uh, rende ya Umo
Mahali mi naenda we huwezi kukam
Wananiita the African Al Capon
Cheki seti, sensi medii
Skele anadai tusele 
Ju hii ni geri ina geri
Talele ya Lulu na Mr Berry
Nina mandugu nalisha daily
Ogopa waroro wanaitwa Njeri
Lakini mi nina wawili wa Nyeri
Life inachange
Fans wanadai ati Scar si anamanga fiti
Tulishinda kwa gazette 
Siku hizi tuko kwa ma-cover za magazine
Ovacado juu ya bread
Songa kando nyi watoto wa Margarine
Hapa rapper hawezi make
Aliacha kuroga siku hizi chali anasing
The cool with the kid 
Still with the homies 
We are fooling in the crib
Haijalishi ukibonga 
Mi bora mikule nifeed
Nishute ni pee haha
Sidai sh*t hailipi 
Cheki jo mi huwanga king
Side chic ni haringi 
Wife alikuja na kids