CORRECT LYRICS

Lyrics : Ekelea Kazi

(BigBeatsAfriq)

R.O.G, tumeekelea kazi
Tel Aviv, tumeekelea kazi
Umoinner, tumeekelea kazi
Forward, FT, tumeekelea kazi
Aldana, tumeekelea kazi
58, tumeekelea kazi
Emba**ava, tumeekelea kazi
Mwamba, tumeekelea kazi
Obamana, tumeekelea kazi
Eastern Bypa**, tumeekelea kazi
City Hoppa, tumeekelea kazi
Ongataline, tumeekelea kazi
Ngumo, tumeekelea kazi
Nagasaki, tumeekelea kazi
Paradiso, tumeekelea kazi
45, tumeekelea kazi

ndio juu spending ndio dawa
Mchizi wangu ali-notice kumpa penzi ni blunder
Hata siku hizi side-hoe-sis ni ugonjwa ya kawa
I'm feeling like Moses juu ya kukatanga waba
Heri unipige maukapi tuki-beef, usijitie kitanzi
Last mbleina kuni-cross ali-pa** away vi-funny
Alijifanya kubonga sh*t chini ya mti, alijiona ye ni nyani
Ali-die tu kwa scene, hapakuwa na story za hospitali
I hope hamna teresh nasi
Juu si tumetoka East na ni kungori, hivyo ndio nakueleza mdhii
Ni ngumu hadi kuteleza huskii
'Cause it's either upige terror au uomoke upige Vanessa Mdee
Kitu mi hupenda sisi ni venye hujuanga ku-exploit
So ma-ninja, design ya Dora, tukuwe explorers
Tuna-die once [?]
Mambleina wako mneti na wanajifanya hawajai explore
Huku ukicheki fiti tunapoishi
Unapata kumejaa mavi kwa orosho
Hivo, hivo, hatujali, tuna-make it
Kila terrain, yaani kama Moroko
Mchizi alihepeshwa kwa mob, sema kugoroka
Aliruka down ground floor kutoka kwa ghorofa
Huku ni kutulia upige biz zako safi mwanangu, uking'ang'ana na pang'ang'a utasota
Day and night, time yoyote kazi
As in, sisi tuko macho, hapa hapana ng'orota
Real badman hadi ma mgaldes wamenoki
Mi hukalia mbao hadi judges wame-notice
Hizi ni places maajabu
Ati niaje uko hai na ulifunguliwa kitabu?
Ndole City, tumeekelea kazi
Rong Rende, Wakadinali, tume-do? (Tume-do? Tume-do?)