CORRECT LYRICS

Lyrics : Goals

Penye nia panafaa kuwa na njia
Hapa iko nia but manjia zimefungwa na curfew
Na by the time jua inatokea
Two billion imeshapotea
Watu wako hopeless, bila IG tuko jobless
Mtoto ni mzazi atalea
Ama msanii ndio ataambiwa lazima akasafishe content

Uh
2022 hatutaki tricks, na ugali wanabonya tunataka piece
Gang signs za ma-YOLO na tuko hapa East
Lunch time after kikoro na ka-Japanese
Unaenda lap, naenda biz
Mindset nisha-lock, success iko na keys
Fame iko na pressure, fam iko na needs
Kwenu kunanyesha, kwetu kuna trees
sh*t, hii sh*t saa ni do or die
Hii rap ndio inafungua milango, itafungua za Lambo
Iko so close naeza ionja
Na hio taste ni familiar ka kuchonga, nishakusho
Nina kismat, mi walahi, najichocha
Jah Jah, najua size ile inanitosha
Niko hapa nakungoja, ni ka Pep ndio kocha

Nimeingia hii mwaka na goals, uh
Siku hizi sikai ka na-doze
Mi ni sniper na flows mingi, stylе na ma-pose
Nyi ni ma-customer, uh, uh, uh
Na-try ku-stack hio bread, I need a slicе of that loaf
Watu si-like ni ma-toast, kitu si-like ni kuwa broke, uh

Jiji imejaa mapinji, but si lazima ukuwe pinji ndio u-make it
Na nimekam kui-prove, ngoja ucheki
Bado na-improve, ni vile tu leo mnajifanya ni ka hamnijui
Kesho mtanitafuta ka P2
We uko mtaani, si hapa kazi tu
Hii ni Ukoo flani, iko na Calif juu
Ka nitakuwa nimewacha ku-rap
Jua nitakuwa mahali na-try bado kununua Bentley
Kwa show nawacha watu waki-clap
After, niko mahali na-relax nikiziseti
Nusu kilo kwa dash, hio nusu ingine ni tax in
Fifty percent ilikuja, nikashika bag
Bila vijiti ama mbegu, hio ingine nikaweka kwa benki
Queue ya mashida iko na watu wengi
Queue ya kushinda ni ka ya kudenki
Queen ana figure na sura fine, thank you
"Shin huwanga stima, wah, kudadadeki"
Mi naua keeper, nakufa na beki
Nina uhakika, nitashika senti
Nani anasema siwezi, na-feel ka Ogada ama Messi
Nimeingia hii mwaka na goals
Yeah

Nimeingia hii mwaka na goals
Siku hizi sikai ka na-doze
Mi ni sniper na flows mingi, style na ma-pose
Nyi ni ma-customer, uh, uh, uh
Na-try ku-stack hio bread, need a slice of that loaf
Watu si-like ni ma-toast, kitu si-like ni kuwa broke, uh

I keep my eyes open, never let the other side know
So we never (Never know, never know, never)
Show emotion, oh (Never know, never know, never know)