CORRECT LYRICS

Lyrics : Why

[Verse 1: Ben Pol]
Ndagu zangu napata malipo ya usaliti
Ya kupenda lakini nikiwa Sipendeki
Sikujua machungu makali kihasi hiki
Hii dozi inatibu vilivyo me sitaki
oh! Why?!
Umenifanya nawaza
Wangapi niliowatenda
Kila nikikumbuka
Najiona Mashamba
Nguvu zinaniisha
Siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha
Nastahili Haya
Nguvu zinaniisha
Siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha
Nastahili Haya

[Chorus: Ben Pol]
Why why why why why, Ohh
Why why why why why, Ohh
Why why why why why, Ohh
Why why why why why, Ohh
Silali Silali silali fofofo
Silali Silali silali fofofo

[Verse 2: Harmonize]
Ona Hayaniishi mawazo ahh
Nyingi zinajirudia ahh
Penzi lake ndio chanzo ahh
Mhh..
Malipo ni duniani
Ahela kuhesabiwa
Me nipo bado rehani
Nimejitela mwanamkiwa
Ehh mhh
Zile heshima kuniyenyekea
Nikamuona si chochote kwangu Ahh
Eti Mazima nikampotezea
Nilivyomaliza tu shida zangu ahh
Ukimuona mwambieni
Najiuguza najutia
Tena Najiona limbukeni
Yamenifunza ya dunia
Yale machozi ya sio na hatia
Yananisurubu Majonzi
Upwekwe najiinamia
Nimeisha tubu nisamehe

[Chorus: Ben Pol]
Why why why why why, Ohh
Why why why why why, Ohh
Why why why why why, Ohh
Why why why why why, Ohh
Silali Silali silali fofofo
Silali Silali silali fofofo

[Outro]
Ona hayaniishi mawazo ahh
Penzi lake ndio chanzo aah
Nguvu zinaniisha
Siwezi hata kusimama
Kinacho nisikitisha
Nastahili haya