SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Why
by
Ben Pol
Featuring(s) : Harmonize
Back
Lyrics
[Verse 1: Ben Pol] Ndagu zangu napata malipo ya usaliti Ya kupenda lakini nikiwa Sipendeki Sikujua machungu makali kihasi hiki Hii dozi inatibu vilivyo me sitaki oh! Why?! Umenifanya nawaza Wangapi niliowatenda Kila nikikumbuka Najiona Mashamba Nguvu zinaniisha Siwezi hata kusimama Kinacho nisikitisha Nastahili Haya Nguvu zinaniisha Siwezi hata kusimama Kinacho nisikitisha Nastahili Haya [Chorus: Ben Pol] Why why why why why, Ohh Why why why why why, Ohh Why why why why why, Ohh Why why why why why, Ohh Silali Silali silali fofofo Silali Silali silali fofofo [Verse 2: Harmonize] Ona Hayaniishi mawazo ahh Nyingi zinajirudia ahh Penzi lake ndio chanzo ahh Mhh.. Malipo ni duniani Ahela kuhesabiwa Me nipo bado rehani Nimejitela mwanamkiwa Ehh mhh Zile heshima kuniyenyekea Nikamuona si chochote kwangu Ahh Eti Mazima nikampotezea Nilivyomaliza tu shida zangu ahh Ukimuona mwambieni Najiuguza najutia Tena Najiona limbukeni Yamenifunza ya dunia Yale machozi ya sio na hatia Yananisurubu Majonzi Upwekwe najiinamia Nimeisha tubu nisamehe [Chorus: Ben Pol] Why why why why why, Ohh Why why why why why, Ohh Why why why why why, Ohh Why why why why why, Ohh Silali Silali silali fofofo Silali Silali silali fofofo [Outro] Ona hayaniishi mawazo ahh Penzi lake ndio chanzo aah Nguvu zinaniisha Siwezi hata kusimama Kinacho nisikitisha Nastahili haya
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register