CORRECT LYRICS

Lyrics : Rudi Darasani

Bado hujajuwa
Bado hujajuwa utamu wa penzi
Unanisumbua
Unataka kazi huwezi kazi

Rudi tena darasani
Rudi tena darasani ukasome

Mwenzako mi tanish no gemu za uswazi
Sizitolei macho
Nafanya za kibabe huwezi show zangu
Nitakutoa jasho

Maji ya kisima unachutama sio kusimama
Ukipewa karoti ebu tafuna sio kumumunya
Na ukiona bakora, lia lia
Ila unanishangaza vidada, najitia nunda

Rudi tena darasani yo yo
Masomo mengine huyawezi
Yatakutoa roho

Mama mama kumbwi katoa boko
Eeh kumbwi kumbwi katoa boko
Aaaee mwalimu katoa boko
Eh mwalimu katoa boko

Mama mama kumbwi katoa boko
Eeh kumbwi kumbwi katoa boko
Aaaee mwalimu katoa boko
Eh mwalimu katoa boko

Wamekula hasara wazazi wako
Wafate pesa zao kwa kumbwi wako
Waliona guna guna kajibwa koko
Umemzidi tembo kwenye uzito

Kwa nini nisichepuke
Nikatafute mapenzi
Mwali unataka muhogo
Wakati unashindwa kula ndizi

Sijatulia mapepe niibie au niweze
Nimezoea masotojo kuwa ndani
Sipigi cha mkwezi, aah

…………………

Rudi tena darasani yo yo
Masomo mengine huyawezi
Yatakutoa roho

Mama mama kumbwi katoa boko
Eeh kumbwi kumbwi katoa boko
Aaaee mwalimu katoa boko
Eh mwalimu katoa boko

Mama mama kumbwi katoa boko
Eeh kumbwi kumbwi katoa boko
Aaaee mwalimu katoa boko
Eh mwalimu katoa boko

Mchana unajifunika shuka
Usiku unazima taa
Mapenzi ka ni kukurupuka
Hutaki hata kujiandaa

Matangopori, matangoo
Eeh matango pori
Eeh kawalishe wengine, matangoo
Matango ooh, matangopori

Mmh
Matangopori, matangoo
Eeh matango pori
Mimi hunipati, matangoo
Matango pori