CORRIGER LES PAROLES

Paroles : Ikijipa

Unaweza zitoka zikingwata (Zikingwata)
Time ulipo, utanipata pon di gutter (Pon di gutter)
Mashashola zimewaka, ni mogatha?na
Zikikubamba?unaweza chain mamorata

Bum-bum?digi, bum-bum, chiki-chaa (Chiki-chaa)
Puff-puff nikijam-jam, shikisha?(Shikisha)
Bum-bum digi, bum-bum, bum (Bum)
Puff-puff niki-jam-jam, jam
Form ikijipa hakunauwo kulalisha (Kulalisha)
Zikishika, hakunauwo kusafisha (Kusafisha)
Kakimuok, kananauwo kuthigithwa
Haya bas, mbuyu, hakunauwo kulalisha

(Smady Tings)
Headbad toka nikuwe m-less
Kaa ni tapo mi hu-patch, utadhani NFS (NFS)
Nilichorea mangem, tupatane mambadeng (Mambadeng)
Mashashola ndio vitu tu kwa mind na-finesse (Na-finesse)
Diang'a songi nazipiga shifla
Na kikoro, njamu, mboka na kichizla
Tunatesa, na wakoba ni waafisa
Kuwashwisa, riang ficha, riang fitsa
Tuko na shang, niko na gang
Na mariambez wamemuok, wanadai kuzi-burn
Zilipuke kaa vile zinalipuka Iran (Sss!)
Si huzi-burn, hatu-mind warazi waking'am (Waking'am)

Bum-bum digi, bum-bum, chiki-chaa (Chiki-chaa)
Puff-puff nikijam-jam, shikisha (Shikisha)
Bum-bum digi, bum-bum, bum (Bum)
Puff-puff niki-jam-jam, jam
Form ikijipa hakunauwo kulalisha (Kulalisha)
Zikishika, hakunauwo kusafisha (Kusafisha)
Kakimuok, kananauwo kuthigithwa
Haya bas, mbuyu, hakunauwo kulalisha

Tuko na projo inafaa kuwa mbele
Mbogi Genje kuchachisha, sio meme
Mtoto m-wide kama River Kamene
Naipiga mpaka a***ia, tuko matembe
Ngoko tanga-tanga kama mende
Akwende, anajiona amemea pembe

Guzman ndio mwenye wanamwika (Guz)
Na warosho zote wananiwinda (Wanasaka)
Watanauwo Mbogi Genje cha lazima (Watanauwo)
Leta mambo, uone ukipangwa (Eh-heh)
Rusha diss, tuwache unajishuku (Eh-heh)
Kam na mambo, si huwaka kama nare

Bum-bum digi, bum-bum, chiki-chaa (Chiki-chaa)
Puff-puff nikijam-jam, shikisha (Shikisha)
Bum-bum digi, bum-bum, bum (Bum)
Puff-puff niki-jam-jam, jam
Form ikijipa hakunauwo kulalisha (Kulalisha)
Zikishika, hakunauwo kusafisha (Kusafisha)
Kakimuok, kananauwo kuthigithwa
Haya bas, mbuyu, hakunauwo kulalisha

Mi hu-vibe tu, ni kaa niko malego
Mbogi-lise inarieng tu, ni machweng'a
Mausgan zimeliet, ni olipa
Gwethe ya mathao ya salopa
Tuko nditni, ni masiwa tu kwa pori
Na machaji wamekwaria mamokish
Kuwadungiz, kuwabambisha na shedi
Na mahaijin wameriet kaa warena
Tuko tifin, kila rima ni ma-rasclaat
Kuwadoshwe kwa warena
Dabo genje, mi hupiga kama Roro, kama gwethe
Haunauwo safisha, hatunauwo waganis

Bum-bum digi, bum-bum, chiki-chaa (Chiki-chaa)
Puff-puff nikijam-jam, shikisha (Shikisha)
Bum-bum digi, bum-bum, bum (Bum)
Puff-puff niki-jam-jam, jam
Form ikijipa hakunauwo kulalisha (Kulalisha)
Zikishika, hakunauwo kusafisha (Kusafisha)
Kakimuok, kananauwo kuthigithwa
Haya bas, mbuyu, hakunauwo kulalisha

VK Master, bie gangster
Ah wah do Slambo? Dem care an do
Ah wah do Jamie? Yu no fi see me