CORRIGER LES PAROLES

Paroles : Full Degree

Mbogi Genje
(Hitman ting, Hitman ting)
(Badmon ting, badmon ting)
Zimenyanya, nimepandisia sigla
Luku diriba nimepiga madicla
Mbegetha nimegwaria ni ya kibla
Top shotta kuwawacha kwa madibla (Smady Tings)

Muok dogo, juu kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma-DB, tuko yolo na mating
Tuko full degree, utakula makidi
Itabaki umetii gethaa inengini, trr
Muok dogo, juu kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma-DB, tuko yolo na mating
Tuko full degree, utakula makidi
Itabaki umetii ukijaribu MG

Tunazidi zidi hard (Hard)
Street imekuwa dimanga za ki-jihad
Tuko yard MG, tupate tukizi-burn (Tukizi-burn)
Vitu tumesunda kwa kinena ni mashang (Mashang)
Time ya bako field, maga imemuokre (Muokre)
Diss MG, huwezi digi shokde (Shokde)
Na marima tulibakisha mashoste (Mashoste)
Tumedunga ma-origi, nyi mamboste
MG kila zing ana gadget (Ana gadget)
Top shotta juu sijawahi miss target
Leta ufala tutakusunda kwa gundu
Mbuku rieba, mazishi bungu
Wakibanja za kifala wataganda (Wataganda)
Nawa-trace na kivitu nawashanda
Nawaachia mbaru, ulimwi na maganda
Nanyambisha za ku-patch nikikacha

Muok dogo, juu kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma-DB, tuko yolo na mating
Tuko full degree, utakula makidi
Itabaki umetii gethaa inеngini, trr
Muok dogo, juu kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma-DB, tuko yolo na mating
Tuko full degree, utakula makidi
Itabaki umetii ukijaribu MG

Holy fruit nishariau, bado pеace
Ka ni bad ting ya weri, siwezi miss
Ni ile day wanajikuna maushuru
Snady tii maithaa ni ya nduru
Ni mabazing'a wa wale wapyeng'a
Si ndo makweng'a na tunawatepa
Wenye presha, kuwaacha na imani tu
Shell shack, shell shack tukizama tu
Mboka yangu, we vie tu mdiu
Siaka mbaya, ni ka kunapigwa riu
Hii design tunakam na hii slang
Tuli-jam, tukaze kufika shang

Muok dogo, juu kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma-DB, tuko yolo na mating
Tuko full degree, utakula makidi
Itabaki umetii gethaa inengini, trr
Muok dogo, juu kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma-DB, tuko yolo na mating
Tuko full degree, utakula makidi
Itabaki umetii ukijaribu MG

MG down, juu ni mambatco
Militan, nawa-strike ki-Afghan
Saruku, ma-informer kuwanasho
Rima, siwezi boss bila toras
Nikivuta, haiwezi pull up bila dibla
Sicro, kwa mashang' haiwezi kwara
Muokalise, mtu chwez siwezi zunda
Uzre maguto ni olipa
Wanabaki walidhani ni rahisi
Govana, hatubanji mara mbwegze
Gok sana, utalinki na mbegega
Nikiriet, kuwakang'a, kuwashona

Muok dogo, juu kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma-DB, tuko yolo na mating
Tuko full degree, utakula makidi
Itabaki umetii gethaa inengini, trr
Muok dogo, juu kwa chuom ni wazing
Tumeriau ma-DB, tuko yolo na mating
Tuko full degree, utakula makidi
Itabaki umetii ukijaribu MG