CORRECTAR LA LETRA

Letra : Mawe

Kuna maku ameniDM (DM)
Anasema nyandu sku hizi unazima sherry fegi 
Umekuwa watu kinoma unahang out na kina vibegi 
Nikamjibu njoo nikukunje ile mbuzi kagoma -- we mpaka nidedi 

Sku hizi kitu na filter  
Sidhani kama ungenijua kiundani 
Ungekubali kuwa hater 
Natokea uswahilini mguu shetani mguu jini 

Bado mitaa imeniamini kama kiongozi wa dini 
R.I.P lango umekwenda umekwenda rafiki wa kweli  
Nimebaki mimi 
Siku hizi hawatuoni oni tunaishi local - 
Na Mungu anatuongoza 
Tujachukua ubingwa la ligi tunawaongoza 
Tamaa na shobo nyingi mabishoo vinawaponza 

Wana nyumba za vioo  
Wanaleta shobo 
Eeeh wanaleta nyodo 
Eeeh wanaleta shobo 
Eeeh wanaleta 

Eeeh tunatupa mawe, eeh mawe 
Tupa mawe, eeh mawe 
Tunatupa mawe, eeh mawe 
Mawe, eeh mawe 

I say kinyago, nakuchonga unanitisha 
Lala na bango na team haitovunjika 
Tuliza kipago na mbwembwe zako za insta 
Ona napiga collabo na mwanangu wa maisha 

Ey Mr Dj twende kwenye replay 
Ey Mr Wivu we mpaka wivu uishe 
Bongo tuiwakilishe mkunga usimzalilishe 
We mwenye nyumba, nyumba kauhalalalishe 

Ahh Busy Babilon, kichaa la hiphop 
Najulikana sana angani Mr Pipa 
Mashoot makali juu ya ndae golikeeper 
Hiphop inauza na getini mtalipa 

Kilomita nyingi nanyoosha goti 
Mi ndondosha verse we ndondosha pochi 
Nadodosha noti unadodosha chozi 
Mi nagonga copy kagonge goti 

Wana nyumba za vioo  
Wanaleta shobo 
Eeeh wanaleta nyodo 
Eeeh wanaleta shobo 
Eeeh wanaleta 

Eeh tunatupa mawe, eeh mawe 
Tupa mawe, eeh mawe 
Tunatupa mawe, eeh mawe 
Mawe, eeh mawe 

Eeh tunatupa mawe, eeh mawe 
Tupa mawe, eeh mawe 
Tunatupa mawe, eeh mawe 
Mawe, eeh mawe