ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Mawe
par
Nyandu Tozzy
Featuring(s) : Rayvanny, Mr Blue
Regreso
Letra
Kuna maku ameniDM (DM) Anasema nyandu sku hizi unazima sherry fegi Umekuwa watu kinoma unahang out na kina vibegi Nikamjibu njoo nikukunje ile mbuzi kagoma -- we mpaka nidedi Sku hizi kitu na filter Sidhani kama ungenijua kiundani Ungekubali kuwa hater Natokea uswahilini mguu shetani mguu jini Bado mitaa imeniamini kama kiongozi wa dini R.I.P lango umekwenda umekwenda rafiki wa kweli Nimebaki mimi Siku hizi hawatuoni oni tunaishi local - Na Mungu anatuongoza Tujachukua ubingwa la ligi tunawaongoza Tamaa na shobo nyingi mabishoo vinawaponza Wana nyumba za vioo Wanaleta shobo Eeeh wanaleta nyodo Eeeh wanaleta shobo Eeeh wanaleta Eeeh tunatupa mawe, eeh mawe Tupa mawe, eeh mawe Tunatupa mawe, eeh mawe Mawe, eeh mawe I say kinyago, nakuchonga unanitisha Lala na bango na team haitovunjika Tuliza kipago na mbwembwe zako za insta Ona napiga collabo na mwanangu wa maisha Ey Mr Dj twende kwenye replay Ey Mr Wivu we mpaka wivu uishe Bongo tuiwakilishe mkunga usimzalilishe We mwenye nyumba, nyumba kauhalalalishe Ahh Busy Babilon, kichaa la hiphop Najulikana sana angani Mr Pipa Mashoot makali juu ya ndae golikeeper Hiphop inauza na getini mtalipa Kilomita nyingi nanyoosha goti Mi ndondosha verse we ndondosha pochi Nadodosha noti unadodosha chozi Mi nagonga copy kagonge goti Wana nyumba za vioo Wanaleta shobo Eeeh wanaleta nyodo Eeeh wanaleta shobo Eeeh wanaleta Eeh tunatupa mawe, eeh mawe Tupa mawe, eeh mawe Tunatupa mawe, eeh mawe Mawe, eeh mawe Eeh tunatupa mawe, eeh mawe Tupa mawe, eeh mawe Tunatupa mawe, eeh mawe Mawe, eeh mawe
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse