CORRECTAR LA LETRA

Letra : Wangu

(Nadia)
Wewe nani, unanipigia simu kama nani
Eti niachane mume wako nani
Unajua Nadia kweli mi ni nani?

(Sanaipei)
We ni nani, unampigia simu kama nani eeh
Ata utoe vya ndani
Atarudi hapa kwangu tu nyumbani eeh

(Nadia)
Anapenda vidogodogo
Mwenzako anavimumunya
Mwanamke unapenda zogo
Tafuta jambo hilo la kufanya

CHORUS
(Nadia)
Oh oh ni wangu
Huyu nasema ni wangu
Oh oh ni wangu
Kubali yaishe ni wangu

(Sanaipei)
Oh oh ni wangu
Huyu nasema ni wangu
Oh oh ni wangu
Mwishowe yataisha ni wangu