CORRECTAR LA LETRA

Letra : Jipe

VERSE 1: (NADIA MUKAMI)

Kamoyo kangu kachoyo, ila kwako nimetulia
Nairobi mpaka bagamoyo, anataka kunichumbia....

Sasa nalishwa, navishwa, naogeshwaaaa aaah
Tena nalindwa napendwa yule si wa kufichaaa aaah
Picha kule kule, watapata taabu saaana...
Macho mbele mbele, ananipenda saanaaa aaah

(PRE- CHORUS)
Hakuna pingamizi kwetu
Hakuna madrama huku kwetu
Hatuna maneno huku kwetu
Tunapendana kikwetu...

CHORUS:

Aka kamoyo kangu nijipe.... nijipe....
Ukinipenda sana nijipe..... nijipe..(X2)

VERSE 2: (MARIOO)
Mmmh
Mi mwenzako nawezaga kupenda sikatai... kweli...
Uh.. ndo nishazama usinipige kipapai honey
Mi hapo kwako nishabwaga moyo usiulaghai... kwelii...
Uh... ndo ushakwama unachotaka sikatai honey
Najua bado huamini haya yamekua..(yamekua ehh)
Acha siamini...