CORRECTAR LA LETRA

Letra : Unanionea

Hivi kweli yupo mwenye roho mbaya kukushinda...
Maana mi sijaona duniani
Hivi kwel yupoooo aso na haya kukushinda...
Maana me sijaona sijaona!
We mtu gani uko radhi mwenzako ateketee
Wakati unajua dawa yake ya kumponya nihurumie.
Ama mtu gani aliefika akaongeza makeke
Na wakati anajua me kwako ndo napona anihurumie
Me najuaaa mapenzi sio kwichikwichi tu.
Yanayonoyaga mazoea nimekuzoea Mmmh mmh!

Unanionea. Mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea. Unayonipiga mieee eeh
Unanionea.  Unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea. Lololoooo iyeee!

Na kama kuachana nimekubaali saa fanya yako
Ila sio lazima unioneshe uniumizee!
Au kisa unajua unaniacha bado nakuhitaji
Ndo unaona bora unikomeshe unilizee eeh!
Aah poa poa nishajua uya utamu vinakuaga uya uchungu.
Ili aloa aloa milima haikutaani.
Japo najuaaa mapenzi sio kwichikwichi tu.
Yanayonogaga mazoea nimekuzoea Mmmh mmh!



(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

Unanionea. Mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea. Unayonipiga mieee eeh
Unanionea.  Unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea. Lololoooo unanionea!

Unanionea bure ehh!
Lololoo!
Hataa bonga anajua unanionea
Chino anajua unanionea!