CORRECT LYRICS

Lyrics : Hakuna Kulala

La
Lalalala la la, la la la la
Mmmmh

Namvuta faraghani
Tunatubu tubu ndani
Namtazama simwishi
Namkanda ma mbavuni
Nitayainua majeshi
Vita nichague mimi
Aanze Bangladeshi
Amalizie Sudani
la la la lalala ooooh, aah aah

Twanozana hatosheki
Kaniweka kifuani
Hatingishiki haruki
Yu watwabani

Nampa na vya kuridhi
Na vizungu vya kigeni

Hakuna kulala, hakuna kulala, hakuna kulala
Asubuhi itukute
Hakuna kulala, hakuna kulala, hakuna kulala
Na machwewe yatukute

Mmmh siwezi kuficha hisia
Maradhi yataniungua
Ni zimwi nalolijua
Kanila kanimalizia
Mbora katimiliki
Kwapa si za race race
Hapitagi njia fupi
Shosti kati ye za nini

Nampa na vya kuridhi
Na vizungu vya kigeni

Hakuna kulala, hakuna kulala, hakuna kulala
Asubuhi itukute
Hakuna kulala, hakuna kulala, hakuna kulala
Na machwewe yatukute

Ladha yako, ladha yako
Ladha yako, Ladha yako ni tamu
Tamu sana