CORRECT LYRICS

Lyrics : Mautundu

Ukianza mautundu tu mi nawasha sigara
Cheza kizungu kwa nyimbo ka masihara
Twende chini au vungu juu kama tiara
Utachezea rungu usicheze na mzee kipara

Mtoto mashallah hauna papara
Mwanaume zake Juma Nature hakuna kulala
Kijike na kidume tu hakuna mafala
Mwizi atapigwa kimya kimya hakuna mikwara

Twende maabara tugende ifakara
Tukachonge bara bara tulonge lugha zetu
Kisiwani na za bara
Yakhe salaam aleikum hewala



(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

Nakusalimia hata kama ukiniona fala
Piga double double Mbezi na kimara
Waache wale chabo mi nakula mshahara
Socks kwenye cargo kasongo utawala
Kubwa au ndogo ipi iongoze msafara

Weka mautundu mi niloose control
Waite wazungu tukalishe mabishoo
Baby slow whine get some more
Nionyeshe show, nikuonyeshe flow

Ah shubi, shubi, shubiru bidu too
Shubi shubi too yeah
Ah shori shori I love you
Sherry I kiss you yeah ....