CORRECT LYRICS

Lyrics : Ate

Nataka Noga na Wewe
Nikufunze Mapenzi
Mwenzako nayajua
Nataka Sema Nawe
Nikufunze Penzi Mimi, Ninalijuaaaa
Niipe nikubembeleze
Kama mtoto mng’aro Kwa raha zako Ujinenepeee
Nikushikee, pendo lisiteleze Likagarara wabaya macho Wasisongeleee

Twende Zanzibari, Comoro Mombasa
Tucheze zumari, Ndombolo chakacha
Nikupe Michezo hatari, Uzidi takata
Tuwe ng’ari ng’ari, Dangote Tanasha
Kama kikobwa nitalala chumvi (Ate Ate Ate Ate)
Vimboga mboga sangala huduvi (Ate Ate Ate Ate)
Eehh, iiiiyaaa naiiiyaa (Ate Ate Ate Ate)
Iiiiyaaa naiiiyaa (Ate Ate Ate Ate)

Mmmmmhhh, mmmmmhhh, Mmmmhh
Mimi daktari, Daktari wa Mapenzi
Dozi yangu temethali, inatibu Nakueenzi
Yangu tamu tamu Bila kuchanjia
Chachu kwa Kudambulia
Swafi kwa kuitumia
Ni salama
Kama Babu kamu katafunia
Dafu kwa kusukumia
Mmmh cha Kurumagia
Kinyamaa
Penzi liogelee Kibalii salama (Selele ya sele)
Tuelee mioyo isiende mrama (Selele ya sele)
Kule kujisosomoa nyama nyama za shawarma (Selele ya sele)
Oooh Habibi selelea

Twende Zanzibari, Comoro Mombasa
Tucheze zumari, Ndombolo chakacha
Nikupe Michezo hatari, Uzidi takata
Tuwe  ng’ari ng’ari, Dangote Tanasha
Kama kikobwa nitalala chumvi (Ate Ate Ate Ate)
Vimboga mboga sangala huduvi (Ate Ate Ate Ate)
Eehh, iiiiyaaa naiiiyaa (Ate Ate Ate Ate)
Iiiiyaaa naiiiyaa (Ate Ate Ate Ate)

Jama mwali kang’ang’ania, (anaitaka)
Anaililia, (anaitaka)
Ooh Kashikilia, (anaitaka)
Nimpe yote yote
Yaani mzima mzima, (anaitaka)
Ooh kulamba lamba, (anaitaka)
Chokoleti ya maziwa, (anaitaka)
Yote yote