CORRECT LYRICS

Lyrics : Tekenya

It's lava again
tekenya kameni tekenya
S2Kizzy baby
Maximizer

Kameni tekenya tekenya
Kameni tekenya tekenya katoto
Kani tekenya tekenya katoto
Kameni tekenya tekenya katoto

Kameni tekenya kameni gusa kunako (ehh kunako)
Kani tekenya kameni pofua macho (ehh macho)

Kana fanya makusudi kama hakataki pipi (doni)
kana fanya nakwenda rudi, boda boda pikipiki (torori rori)

Kani tekenya kanipandisha midadi
Nikimuona biki hazikaki
Kani tekenya moyo mpasuko radi
mapigo mkio kila ya idadi
Kani tekenya shepu lake la nicki minaj
Mtoto  ananimalizia mtaji
Kani tekeny akili kwake hazichaji
Natapa tapa kama mfa maji


Teke tekenya (tekenya)
Kani teke tekenya (tekenya)
Ameni shika kwenye paja (tekenya)
Namtajataja (tekenya)

Teke tekenya (tekenya)
Kani teke tekenya (tekenya)
Ameni gusa kwenye kwapa (tekenya)
Yaani mara huku mara hapa (tekenya)

Kameni tekenya tekenya katoto
Kameni tekenya tekenya katoto

Kani tekenya tekenya katoto (Vanny boy)
Kameni tekenya tekenya katoto

Nikika tekenya
Kana tekenyeka Yaani (hun hun hun)
Kana cheka cheka
kameni tekenya kana vyotetemsha
Wami kitoukam ssekenke nasereleka

Tekenya! Mikono juu ka nina mabawa
Tekenya! Upepo sukuma ngalawa
Tekenya! ukizungusha mama napagawa
Tekenya! hadi birika lamwaga kahawa

Ukikatika kigugumizi
Masai kanipa dawa nishatafuna mizizi
Wanidatisha kichizi chizi
Yaani natap tap nashindwa kupiga mbizi
Pinda mgongo, ukunje mikono
Twende taratibu kama konokono

Kukuki shingo, shingo
kukuki shingo
Kama mbuzi kagoma kwenda
Kukuki shingo, shingo
kukuki shingo
Kizombi ninatoka milenda (Kani tekenya)

Teke tekenya (tekenya)
Kani teke tekenya (tekenya)
Ameni shika kwenye paja (tekenya)
Namtajataja (tekenya)

Teke tekenya (tekenya)
Kani teke tekenya (tekenya)
Ameni gusa kwenye kwapa (tekenya)
Yaani mara huku mara hapa (tekenya)

Pinda mgongo, kishingo weka juu
Kunja na mikono kama kangaroo

Kukuki shingo, shingo
kukuki shingo
Kama umejinyonga unaninguinia
Kukuki shingo, shingo
kukuki shingo
Fanya unaibuka unazamia
Kukuki shingo, shingo
kukuki shingo
Paramia ukuta chungulia
Kukuki shingo, shingo
kukuki shingo
Yaani nyatu nyatu nanyatia

Ayolizer