CORRECT LYRICS

Lyrics : Tuma Kitu

Hahahaha, OG
Tuma kitu, yeah

Yo, kwa mbosho nina rwabe mbele, nyuma (Sina pesa)
Na bado inafaa nifike Ronga (Woo!)
Niko Railways, buda, nimenuna (Achana na mimi)
Najaribu kusikiza madonda (Niaje?)
Mresh keja amedai hataki sukuma (Iyee!)
Amechoka na nguo za Gikomba (Kwenda!)
Karanja kuna doh anafaa kutuma (Tuma!)
Niwekee kwa hii namba, buda, boss (One, two, three)

Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Na utume pia na ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Manze form sio poa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Usisahau ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Gathee, tuma kitu

Ay, yo, all I do is win kama Khaled ama Usman Kamaru
Headbad but siingiangi booth na manyaru
Leo ni Rangey, sitaki nuks za Subaru
Mi bazenga, swag nawapigianga look ya Gumbaru
Ndo nifike hapa, Amen, ni Mungu
Hii kitu huwanga ni tamu but again ni uchungu
I remember I wanted to work for NTV
But maybe pia mi ningechujwa kama Ken Mijungu
But mi ni rapper, nawapeleka na rieng
Na kaa mashini, mi huendesha manuel
Yesu ni Baba, sitaki mezesha jachieng
"Yes Bana" inachuna tukiveveka na Bien
Hatujaanza juzi, hii ni lugha ya zamani
Jeshi yangu ya bangi huivuta hadharani
So waambieni OG amefika
Na hii ni rhumba ya Kayole, hii si rhumba ya Japani, let's go