CORRECT LYRICS

Lyrics : Subira

Oh na na
Subira imeniponza, natokota
Kwote kupambana tatu bila
Langu penzi tamu tamu, wameliokota
Eh moyo ukauwacha na malenge lenge umeota vidonda eh
Nimefuba hali ni shiwenge wivu nakonda yeah
Anipita mbali kama kigege
Aniacha hoi mi mlege lege
Nadharaulika ananiona bwege, oh inauma
Kama asali nishapokonywa masege
Kaniachiaga homa ya dege dege
Leo mlezi bichi mi wa mla ndege
Hakumbuki nyuma
Tena sikudhubutu, umfanya ajutie kunipenda
Niliamini wa milele daima, daima
Kwake sikuaga zumbukuku
Japo yangu ya kitochi, alimulikiaye
Anavyoiweka kando inaniuma, inaniuma

Eh yangu akili,
Ameichanganya changaya, Ameidanganya
Hakuna tena siri
Ameichanganya, moyo ameugawanya
Ye kumbe alipita kunusa
Ameichanganya
Penzi amelipangusa
Lipangusa aah, aah nalia

Baby no be moto, but you drive me crasy koni
Na wa gang but you off my head
Gang but you off my head

Umeniachia kidonda kidonda
Mi mwenzako ninakonda
Kidonda kidonda
Skiibii Mayana nakonda

Konda need a money
Baby danse, I've enought of money
Ma'a enjoy my money
I go stand by your side [?]

I wish you treat me right
I wish you do me right
I wish you do the right
My heart is beating I love you die

Eh yangu akili,
Ameichanganya changaya, Ameidanganya
Hakuna tena siri
Ameichanganya, moyo ameugawanya
Ye kumbe alipita kunusa
Ameichanganya
Penzi amelipangusa
Lipangusa aah, aah nali