CORRECT LYRICS

Lyrics : Waache Waoane

Intro:
Said Fella!
T.M.K. for life
Wasafi...
Enhee he he
Check it out...
Wasafi Records

Hook: Chege
Maji ya moto yamekuwa baridi
La la la la la...
Hakimu nimekuwa shahidi
La la la la la...
Ukishusha mateso ndo yanazidi
La la la la la...
Alioniliza ndio wa kunifariji
La la la la la...

Chorus: Chege
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...

Verse 1: Chege
Yame dhibitisha macho, lakini moyo unakataa
Nimeamini kikulacho, ni yule unayeona anayekufaa
Nilifumba mboni zangu, kwa wengine ni muone yeye tu
Nikamwaga jasho langu, japo kidogo' nile naye yeye tu
Mwambie' awe huru, wala si nto lalama
Ah ha... Ah ha...
Sitaki kukufuru, wafunge ndoa salama
Ah ha... Ah ha...
Chorus: Chege
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...

Verse 2: Diamond Platnumz
Oh...
Ay, Anaye panga kugawanya huwaga ni mungu baba
Katu siwezi kulalama, ridhiki mafungu saba
Nimejitahidi sana, huenda sikumridhisha labda
Ila kinacho nichanganya, hakuniamba kabla
Oh! tena nakupa maua, umpelekee
Usije yatupa, naomba uya pokee
Oh! Na swala ntafunga, usiku ni waombee
Awape baraka muumba, watoto wa waletee
Ee...Aah...

Pre-Chorus: Chege & Diamond Platnumz
Waache waoane...
Oh salimini salama
Waache waoane...
Aye, wawe baba na mama
Waache waoane...
Tena naeka na nadhiri
Waache waoane...
Aku! si nto wasumbua
Hook: Chege
Maji ya moto yamekuwa baridi
La la la la la...
Hakimu nimekuwa shahidi
La la la la la...
Ukishusha tu mateso ndo yanazidi
La la la la la...
Alioniliza ndio wa kunifariji
La la la la la...

Chorus: Chege
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...
Waache waoane...

Hook: Diamond Platnumz
Aga' Japo moyo wangu 'kitete
Moyo wangu 'kitete
Ah, yarabi moyo 'kitete
Taratibu ntazoea
Moyo...'kitete
Moyo wangu 'kitete
Mwenzenu moyo 'kitete
Taratibu ntazoea
Oh mama moyo... 'kitete
Moyo hii...'kitete
Oh! wangu moyo 'kitete
Moyo wangu mama
Eeh...aah...
Aiyo, Laizer...