CORRECT LYRICS

Lyrics : Mbagala

Mmmh mmh mmh mmh
Mmmh mmh

Busara na upole
Na hekima nilorithi kutoka kwa mama yangu, mama
Vyote haukuvijali
Ukaona silingani kabisa kuwa na wewe
Akuti na Mkole
Ukakata kabisa na shina la penzi langu, nana
Eti kisa mali
Ukaona bora uniache mimi na uolewe

Ile siku shekhe namuona anachoma ubani
Unavishwa pete unakuwa mke wa fulani
N'liumia sana
Sana...
Ile siku shekhe namuona anachoma ubani (uh huh)
Unavishwa pete unakua mke wa fulani (uh huh)
Niliumia sana
Mi niliumia sana, sana

Tatizo kwetu Mbagala
Hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala
Ukaona mapenzi siwezi
Tatizo kwetu Mbagala
Hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala
Ukaona mapenzi siwezi
Ah ah ah ah
Ungejua jinsi gani
Machozi n'lolia kwa uchungu wa penzi langu, na
Mwenzio jinsi gani
Vile nimeumia moyoni
Hata kupendwa sitamani
Utamu wa mapenzi mwenzako umеkula kwangu, ma'
Mwenzio sitamaani
Hata raha tena mi sioni

Naskia hivi sasa una mtoto anaitwa Mamu
Vile akinuna mpaka atabasamu
Mmеfanana sana
Sana...
Mi' mwenzako tena mapenzi mi' sina hamu (uh huh)
Tena na mpango wa kuhama Dar Es Salaam mu (uh huh)
Nataka niende mbali
Niepuke visa na walimwengu mi' mwenzenu siwezi

Tatizo kwetu Mbagala
Hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala
Ukaona mapenzi siwezi
Tatizo kwetu Mbagala
Hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala
Ukaona mapenzi siwezi
Nasema Mbagala
Mbagala
Mbagala
Ah ah ah ah
Mbagala...
Ukaona mapenzi siwezi
Nasema Mbagala (Mbagala)
Mbagala (Mbagala)
Mbagala (Mbagala)
Eh eh eh eh
Mbagala...
Ukaona mapenzi siwezi

Tatizo kwetu Mbagala (ooh, Mbagala)
Hapa nyumba mbele jalala (mbele jalala)
Tatizo kwetu Mbagala (mama...)
Ukaona mapenzi siwezi
Tatizo kwetu Mbagala (hii...)
Hapa nyumba mbele jalala (ooh..)
Tatizo kwetu Mbagala (mama)
Ukaona mapenzi siwezi (mama)

Mbele jalala
Kwetu Mbagala
Eh eh eh
Yeah, eh eh
Hii...
Na na na
Na na na
Eh, eh eh
Ayo, ha ha
Yo, I'm back, ladies, I'm back
It's Sharobaro President
Bob Junior
Mr. Chocolate Flava
Yo, I'm back, Diamond, I'm back
Ha ha
Nimemaliza