CORRECT LYRICS

Lyrics : Baba Lao

Chu
Dangote baba lao (baba lao)
Simba baba lao (baba lao)
Chibu baba lao (baba lao)
Mondi baba lao (baba lao)
Eeeh, Zogi baba lao (baba lao)
Magufuli baba lao (baba lao)
Makonda baba lao (baba lao)
wasafi chama lao

Koma koko ma ni kopo koko
Leo ndani twakesha popo
Watasambazia moko moko
Moja baridi moja moto

Mmechoka eti (aaahh wapi)
Mnataka lala (aahhh wapi)
Tungi limezidi (aahh wapi)
Tuzime muziki (aaahh wapi)

Twende ki sambugile sambamba
Apo vipi inabamba
Ino gire inatamba
Basi chanika musamba eeehh,
Wataweza kweli (ahh wapi)
Kushindana nasi (ahhh wapi)
Ata wakiungana (ahh wapi)
Matusi kututukana (aaah wapi)

Dangote baba lao (baba lao)
Simba baba lao (baba lao)
Chibu baba lao (baba lao)
Mondi baba lao (baba lao)
Eeeh, Zogi baba lao (baba lao)
Magufuli baba lao (baba lao)
Makiembe baba lao (baba lao)
wasafi chama lao

Maji selema majisia selema (selema)
Mwambie nyangemba heshima ametema (metema)
Amevaa sidifu mseleleko (eeh tumemkwepa)
Amebaki masononeko (eehhh wanamcheka)
Kwanza kuja kati (kuja kati)
Kisah vua shati (vua shati)
Cheza kama monkey (aiieee)
vunja ukideki deki
Heee, tumewachap (kidude)
Hakichomoki (kidude)
Kimewanasa (kidude)
Wanatapa tap (kidude)

Chizika lopua tena chizi
Chizika lopua tena eehh
Chizika lopua tena chizi
Chizika lopua tena eehh
Chizika lopua tena chizi
Chizika lopua tena eehh
Chizika lopua tena chizi
Chizika lopua tena eehh

Dangote baba lao (baba lao)
Simba baba lao (baba lao)
Chibu baba lao (baba lao)
Mondi baba lao (baba lao)
Eeeh, Zogi baba lao (baba lao)
Magufuli baba lao (baba lao)
Majaliwa baba lao (baba lao)
wasafi chama lao

Suka ukipanda na ile shati navua (acha uwongo)
Suka ukipanda na ile shati navua (acha uwongo)
Jamani navua (acha uwongo)
Mama navua (acha uwongo)
Mazelo navua (acha uwongo)
Heee, kuna bazata

Sinapiga yobi (huwezi)
Wanapiga yobi (huwezi)
Iyobo anapiga yobi (huwezi)
Me napga yobi (huwezi)
Iyee yeee yee iyee eeeh
Eeeh ehe ehe eeeeeh
Tale anapiga yobi (huwezi)
Me napga yobi (huwezi)
momo napiga yobi (huwezi)
fupwe napiga yobi (huwezi)
Iyee yeee yee iyee eeeh
Eeeh ehe ehe eeeeeh