CORRECT LYRICS

Lyrics : Amanda

amanda (amanda) eh
amanda (amanda) eh
amanda (amanda) eh
kwanza anakunywa bia kama anasinzia ( amanda)
macho kama anasinzia

nikiumwa na kichwa ye ndio nurse (amanda)
kitandani anavyoparamia komando (amanda)
kipato changu kidogo ameridhia
nashangaa unaleta shobo wataka niharibia
oh nakesha kuvunja nazi (amanda)
oh mwambie kwetu anajipa kazi ( amanda)