CORRECT LYRICS

Lyrics : Achii

Double K (Mopao)
Chu chu chu chu chu
Achu achu achu achu…
Chu chu chu chu
(Ayolizer)

Eeh! Wanewa wanaingia (Le general Dangote)
Ooh! Mwenye mji wamevamia (Le grand Mopao)
Eeh! Wanewa wanaingia (Mama Dangote)
Ooh! Mwenye mji wamevamia

Utatubeba mgongoni?
Utatubeba mgongoni?
Utatubeba mgongoni?
Utatubeba mgongoni?
Utatu!

Ona mpaka leo oh majibu sipati
Yaani mpaka leo, nimebaki katikati (Didi Santos)
Rafiki rafiki, rafiki wa kweli ni nani?
Rafiki rafiki ni ndugu ama jirani

Unaye-party naye kwa starehe
Wakulia nawe msibani
Wa kukosa akuongeze
Ama yule wa nipe nami

Mwenzenu nimegoma
Rafiki yangu pesa (Rafiki yangu pesa)
Ricardo Momo!
Rafiki yangu pesa (Rafiki yangu pesa)
Don Fumbwe
Rafiki yangu pesa (Rafiki yangu pesa)

Asa achi achi (Achii)
Chibu dangote (Achii)
Jamaa achi achii (Achii)
Na Chidi Benzi (Achii)

Asa achi achi (Achii)
Chibu wa ghetto (Achii)
Kumbe ji ni ji (Achii)
Chipolopolo (Achii)

Asa twende achichichii
A chi chi chii
Achichichii a chi chi chii
(La prezident Mama Samia)
Ahichichii a chi chi chii
Achichichii (eeeh)
A chi chi

Atikitiki akiki
Atikitiki akiki
Aah! Atikitiki aah atiki
Aah atikitiki atiki
(Jijis mopao)

Doboro kii ah (Doboro kii)
Doboro kii
(Le prezida mafanchi bethon)
Doboro kii

Dance kitoko, dance bidena
Dance sukari (Tobila)
Dance makambo, dance bidena
Dance atombotombo

Zinda bangondo zinda (Zinda)
Zinda bangondo zinda (Zinda)
Uuu sepeta zinda (Zinda)
Uuu sepeta (Zinda)

Zinda bangondo zinda (Zinda)
Ooo bangondo zinda (Zinda)
Mama lia bangondo lia (Lia)
Lia bangondo lia (Lia)
Mama lia bangondo lia (Lia)
Lia bangondo lia (Lia)

Kiwangooo! (Kiwango babu)
Kiwangooo! (Kiwango babu)
(Prezidon Hussein Mwinyi)

Ooh niache nina moody leo
Nataka niparty nipatike
Niache nina furaha leo
Nataka ninywe niutwike

Niache nina moody leo
Nataka niparty nipatike
Niache nina furaha leo (Nelson Kisanga)
Nataka ninywe niutwike

Ooh niache nina moody leo
Nataka niparty nipatike (Babu tale)
Niache nina furaha leo
Nataka ninywe niutwike
Niache nina moody leo (Sisco Kipenge)
Nataka niparty nipatike
Niache nina furaha leo
Nataka ninywe niutwike

Waambie marafiki (Mtanibeba mgongoni)
Ooh mimi leo (Mtanibeba mgongoni)
Agha wanangu (Mtanibeba mgongoni)
Aii mimi hapa (Mtanibeba mgongoni)
Yaani mwenzenu (Mtanibeba mgongoni)
Nasema leo (Mtanibeba mgongoni)

Pusa pusa pusa (Pusa)
Pusa mama pusa (Diego olomide)
Pusa baby pusa (pusa)

Yaka (Yaka) yaka (Yaka)
Yakalata (yaka)
Yaka (Yaka)
Yaka…

Applause Mapao (Eeh!)
Applause Diamond (Aaah)
Raise Mapao (eeee!)
Raise Diamond (aeee!)

Yakamwa (Yaka) yaka (Yaka)
Yakalata (Yaka) yaka (Yaka)
Yaakusimbate (Yaka) yaka (Yaka)
Yakutalaka (Yaka)
Yaka (Yaka)

Ee mamera nyu papee (mieee)
Mama sethera (mieee)
Mera nde pa wii (wiii)
Mera ndi mayo (wiii)

Mera yo gavie (mieee)
Mera sepera (mieee)
Mama Labawii (wiii)
Mama Lobanko (bankooo)
Wisamo, mopao le-gra mopao
Tiffa dangote (aaah)
Didi stone aii