CORRECT LYRICS

Lyrics : Uno

Oh yeah!
Konde boy, uno!
Everybody say uno
Ah sema uno
Everybody say uno (Hey!)

(Verse 1)
Uno likiteguka, huwezi kutembea
Maasai ruka ruka, analinyenyekea
Chumbani kwenye shuka, linanitetea
Mzungu kawehuka, limemkolea
Laki makonde la kichaga
(Eeh eeh eeh lakichaga)
Wengine hadi wenywe pombe ndio wanalimwaga
(Eeh eeh eeh wanalimwaga)

Uno la wima wima
Linatokea Congo
Sino lile kwa jima
Alimwagia kondo
Uno oh oh oh oh

(Pre-chorus)

Linawaokoa makahaba ba ba ba
Kuna wale hung'oa meno saba ba ba
Lilimtoa H-baba baba

(Chorus)

Yaani A E I O Uno!
Everybody say uno
Ah, sema uno
Everybody say uno

Za migando kama hautaki (uno!)
Mpinde kama unakanda chapati
(Ah, sema uno)
Basi nizungeshe hadi kwenye bati (uno!)
(Verse 2)
Manga eh basi kata taratibu tibu
Usije pata ajali
Uno la chibu chibu
Linamkondesha Zari

Uno la Ray-C hii hii hii
Halinanga mifupa
Ukienda DRC, kuna Fally Ipupa

Aaa, popote wanalimwaga (uno!)
Yaani kinaga ubaga (uno!)
We jaribu kuchunguzaga (uno!)
Uno ndio linalolegeza chaga (uno!)

(Pre-chorus)

Linawaokoa makahaba ba ba ba
Kuna wale hung'oa meno saba ba ba
Lilimtoa H-baba baba

(Chorus)

Yaani A E I O Uno
Everybody say uno
Ah, sema uno
Everybody say uno
Za migando kama hautaki (uno!)
Mpinde kama unakanda chapati
(Ah, sema uno)
Basi nizungeshe hadi kwenye bati

Uno!
Everybody say uno
Ah, sema uno
Everybody say uno

(Oh my God it's better sounds)