CORRIGER LES PAROLES

Paroles : Warena

(It's M City Music, baby)
(Ay, yo, Chino, you again?)

Man ah Guz, huskii setoka, niko rada
Bling ni ya kilo, na si ati nyama
Ndonyo bado ni mayut wanakaba
Hizi rima, jina Guzu watataja
MG zing, jina ndio bwaku
Ukilaku, mavushying nakulaku
Ukikatiwa kombato na mandunya
Ukinilinki, niko rima inadi deep sea (Umojing)
Niko chupri na kwa mbosho nina ndichwez (Kachwez)
Odi mind, siwezi tii wanitinge
Tukizidingi kotiko nikupinge (Pinge)
Rampage na kuzidi kuwadalo
Hata mao na-deliver to the people (The people)
Na mashang', kuzinyafu, kunyambisha
Ukikam na underation, kubwagishwa
Nina mbegega nategea nililishe
Magambuti ni lazima niwafinye

Si ndio kusema, shang' inatema (Si ndio kusema, shang' ina-)
Kila kitu si hudu ni warena (Kila kitu si hudu ni warena)
Utaliet ukikanashi warena (Ukikanashi warena)
Utaliet ukikanashi wa-, yo (Utaliet uki-)
Si ndio kusema, shang' inatema (Si ndio kusema, shang' ina-)
Kila kitu si hudu ni warena (Kila kitu si hudu ni warena)
Utaliet ukikanashi warena (Ukikanashi warena)
Utaliet ukikanashi wa- (Utaliet uki-)
Kaa riang' ni siaka, mi nitaku-brush
Siwezi gwai isaa walosh, hadi mkuje mtu das
Nimenjaku vodo mbwegze, wamenjaku vodo jas
Wanabuya kakinuka, wanainzagi za backs
Digi dwanzi rezi kujijaza gas
Na vile kindie, kuna shang' nime-stash
Ukidigi vodoo bwe' hakuna zeng, ni magwaash
Wanafurisha magwado usongi wakinywa ku-have (Ku-have)
Utabaki nikirao na ki-chrome
Huko rima nyonyo wako amepitiwa za kichuom
Huna riang' umeidra, man, ni ka huko some
Juu ya gwethe zabe, nakupata ukiuza bomb
Wanatupimia za ki-VAR
Na walitubeba ndogo tukiwanga char
Mi hutambua me realest, akina Michar (Michar)
Na kifaa, nilichambua zanabe ya kiwar (Ya kiwar)
Riambez wako idhaa inengi ni shuksha (Shuksha)
Kum-swipe, tukimonchokanga bukla
Kabla nijichape lazima kondiekcha (Kondiekcha)
Portmore namezea kila ndiecha
Unabanja sana ukinywa kuchweng'a (Kuchweng'a)
Kimirista hamwezi bishana na kweng'a (Bishana na kweng'a)
Mtadoz mbogi nzima mtarenga
Mkijaribu kukanashi warena
Unabanja sana ukinywa kuchweng'a (Kuchweng'a)
Kimirista hamwezi bishana na kweng'a (Bishana na kweng'a)
Mtadoz mbogi nzima mtarenga (Mtarenga)
Mkijaribu kukanashi warena
Si ndio kusema, shang' inatema (Si ndio kusema, shang' ina-)
Kila kitu si hudu ni warena (Kila kitu si hudu ni warena)
Utaliet ukikanashi warena (Ukikanashi warena)
Utaliet ukikanashi wa-, yo (Utaliet uki-)
Si ndio kusema, shang' inatema (Si ndio kusema, shang' ina-)
Kila kitu si hudu ni warena (Kila kitu si hudu ni warena)
Utaliet ukikanashi warena (Ukikanashi warena)
Utaliet ukikanashi wa- (Utaliet uki-)

Ghetto praise, mi sitekeswagi rogam
Kunipree, we jidalo mara wutat (Mara wutat)
Kujinauwo, sikunauwo, we ni who dat (Who dat?)
Banja baga ni madua muok otolo (Otolo)
Inna milien, kuwakweng' chaji seh kama che
Tukisheng, kwa hii ground, si ma-king
Hatu-zip, kuwa-sweep tuki-sip Hennessy
Naughty dread, si mabingi, wako kinky
Frenemy nawa-born ka warena (Warena)
Si wazing', hatugwai hizi mapikni (Pikni)
Huku njei wanang'am, ni wareng' wananjaku
Ngumi mbwegze, ka si vyoi, tu-foot on hadi laksi
Wana furaha shagla zetu zikijipa (Zikijipa)
Mangwander, si hu-boss zihuwarianyu (Zihuwarianyu)
Za wathii, siwezi fika kwa wakadu
Kuna shang' nategea toka Dansu (Dansu)
Utariau makidi za Isladu
Nikirombotha chini, kovu digi doki
Kwa bonje, siku zao ziko shomwi (Shomwi)
Ni mila, mi mgenje, uliza Toppy (Uliza Toppy)
MG, kila kitu wana-copy (Wana-copy)
Wikendi, kurombos na ma-okli (Okli)
Roho zao ufucha zinadai mopping
Leta ufala utaparara na masoki
Yo, utaliet ukikanashi warena (Ok)
Wana-hate, hio ndio kamati ya Kenya (Woo!)
Inakonge, usione nathobotha
Reason vitu zimekalas hizo pharmacy za Tena (Haha)
Omollo, Mwangi, niko thamaki na tema (Yes)
Niko juu ya ngwete, sembe, samaki, omena (Mm!)
Nimezoza sling, chini mambati warena (Woo!)
Na nimeji-pin, niko na ka 30 kwa chamber (Iyee!)
Macho drowsy ka wachinku wa Ben 10 (Ben 10)
Mangwariti kwa mbosho ni ka za 10K (10K)
Niko maweng, mi ni zing, niite Sensei (Sensei)
Peng' akidai Uber, ita senke (Haha!)
Addi teacher toka Gaza matopeni (Matopeni)
Na hawa ma-n***a wanajijaza, wachocheni (Wachocheni)
Na ka ma-diva mnabanja, jo, komeni (Woo!)
Utaririma, nitawalaza, we ngojeni (Hahaha)
Ukinitusi sitabonda, just another diss
Bloodclaat, si huwachoma kama cannabis
Kaa na this, uone venye mi nitakukang'a beef
b*t*h boy, siku gani utasare uwaganis? (Woo!)
Kaa huna form hii Nairobi, bosi hama
Old school, mbogi huniita Bossy Bossiana
Hobby naughty, kuchota mangoko, thotiana
Kuwarudis choki, ni ka nimegoroki, ndio kwa maana
Mtaa mbogi huniabudu ka tajiri fulan
Na mi hucheza game bubu ka Sirikal
Na tunaleta vurugu, si siri, man
Smady, OG, Guzu, na Militan

Si ndio kusema, shang' inatema (Si ndio kusema, shang' ina-)
Kila kitu si hudu ni warena (Kila kitu si hudu ni warena)
Utaliet ukikanashi warena (Ukikanashi warena)
Utaliet ukikanashi wa-, yo (Utaliet uki-)
Si ndio kusema, shang' inatema (Si ndio kusema, shang' ina-)
Kila kitu si hudu ni warena (Kila kitu si hudu ni warena)
Utaliet ukikanashi warena (Ukikanashi warena)
Utaliet ukikanashi wa- (Utaliet uki-)

(Digi doki)
(Big shoutout to Vinc on the Beat, by the way)