CORRIGER LES PAROLES

Paroles : Unaniona

Nilipata taabu kupata penzi lako
Kwa sababu ulisita moyo wako
We key yangu we funguo ipo kwako
Mimi mazima siwezi toka kwako

Jamani moyo wangu usijezima
Kulalamika ka ukilema
Kunipa penzi lako ata huruma una
Unanitesa sana

Jamani moyo wangu usijezima
Aaah unanitesa sana
Kunipa penzi lako ata huruma una
Unanitesa sana saana

kidochi kibuti kumwagwa kutoswa kutemwa
Inauma sana
Na kidochi kibuti kumwagwa kutoswa kutemwa

Sasa hivi unaniona aha
Thamani mi sina aha
Unavyonisema aha
Sina maana tena aha

Hivi unaniona aha
Thamani mi sina aha
Unavyonisema aha
Sina maana tena aha

Wasi wasi wa moyo nilionao
Moyo wako bado hujaona
Kuwa nawe bado naona
Uzito wa penzi lako uzani unagoma

Basi si nipee sikio mi leo
Usikie niyasemayo
Usinipeleke mbio saana
Kama huitaki we sema

Unaona ata raha sina, sina
Sina pa kupapasa sina, sina
Sina pa kushika sina, sina, Sina pa kuhemea sina, sina

kidochi kibuti kumwagwa kutoswa kutemwa
Inauma sana
Na kidochi kibuti kumwagwa kutoswa kutemwa

Sasa hivi unaniona aha
Thamani mi sina aha
Unavyonisema aha
Sina maana tena aha

Hivi unaniona aha
Thamani mi sina aha
Unavyonisema aha
Sina maana tena aha