CORRIGER LES PAROLES

Paroles : Magufuli

Mi kura yangu ni ya Magufuli 
Mwingine wa nini tena?
Hata wakileta ubabe
Kura yangu sitoigawa

Wapinzani watoke sufuri
Magufuli aongoze tena
Kwa ukubwa juhudi zake
Azidi kuyaweka mambo sawa

Mwenye busara mstahimilivu
Anayapinga maovu
Magufuli wa kujivunia
Na kwa nini asipendwe?



(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

Yaani kila idara yenye wazembe
Wenye kufanya maovu
Wenyewe tumeshuhudia 
Alivyowaweka pembeni

Darsalema mwendo kasi
Na flyover tupande, na upiye
Kila kata ina zahanati
Magufuli haki ujigambe, na upite

Tunang'ang'ana hatukuachi
Magufuli ulo jawa haki
Mwenyezi Mungu akulinde



(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

Yaani we na mii
Wote tumchageue (Magu)
Magu, Magu tunampenda (John Pombe Magufuli)
Baba Johni Pombe, tuna imani na wee
Magu, Magu (John Pombe Magufuli)

Magu  mwenye moyo wa kuijenga Tanzania
Magu, Magu (John Pombe Magufuli)
Basi tumchague aende kumalizia
Magu, Magu (John Pombe Magufuli)....